Shtuka..! Unaibiwa

huyo hajaolewa mtaani anafahamika ni kugawa tu k
 
Hahaahaa. Wacha weeee.

Mtani kumbe na weye hii tabia unayo eeee.
me ni salam tu baada ya hapo naweka earphones kwa my ears sipendagi kuzoeana na wadada tukiwa kwenye gari, ila mwanaume mwenzangu story mwanzo mwisho
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ kumbe na wewe ndio wale wale waimbishaji eeee?
Lengo ni safari iwe fupi bila kujali tunaongea issue gani. Ujue unaweza kujifanya uko sana busy inafikia muda unahitaji msaada ukashindwa pakuazia.

Nb: Vipi Ushawahi Kuimbishwa?.
 
Lengo ni safari iwe fupi bila kujali tunaongea issue gani. Ujue unaweza kujifanya uko sana busy inafikia muda unahitaji msaada ukashindwa pakuazia.

Nb: Vipi Ushawahi Kuimbishwa?.
Duu! Kumbe maongezi yanafupisha safari eee?

Hahahaaa. Bado
 


Wacha umbea kijana wa Dar, demu ama mtu yeyote awapo safarini yupo huru kula ma kuliwa. Wacha kuwatia watu presha.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…