ni kujaamiiana (socialize) tuHahahaaaa. Wataka mdada wa watu aangukiwe na jumba bovu.
Huwa naona mie pia ila sijui kwa nini hii tabia ipo na sijui anayekuwaga mdhaifu hapo ni nani kati ya Me na Ke maana waeza kuta ni katoto kanaenda shule na kamevaa sketi ya shule ila unakuta kanagandana na mtu kisa tu kakaa naye siti moja.
Ila hebu tujadili Wadau dawa ya hii kitu ni nini? Na ni nini inasababisha hii kitu?
Japo tusihalalishe kwamba wote wanaopeana namba lengo ni mapenzi.
Mtume paulo mkuuUpendo huo bro mmeagizwa na nani ?
Sosten amewahi nini???
Mzee baba unaona kusubiria mpaka itokee usafir na Hajar unaamua kuanzia humu jamvini tena sio PM, salute zote yani nakupaKaka ako wapi acha miyeyusho ?! Nakumind wewe ?!
Heheheeeiiyyyyyyaaaa, woooozeirr,tototoooooooπππUuuwiii. Umeshachelewa sasa kwani ameshaniwahi Sesten Zakazaka Poole. ππππ
ππππππ
ππππ Mzima lakini jirani?Sosten amewahi nini???
ππππ Duuh.Heheheeeiiyyyyyyaaaa, woooozeirr,tototoooooooπππ
Kitendo tu cha kupewa nafasi ya kusinzia inaonyesha moja kwa moja ulie keti nae kwa siti hana swaga. Ukweli ni kwamba jinsia mbili tofauti kukaa pamoja kwa masaa kadhaa huku kila mtu akiwa kivyake hilo ni kosa kubwa la kimfumo pia haipendezi.Hahahaaa. Mie sinaga mazowea na watu ya haraka haraka hivyo ujue.
Nitakusalimia tu wakati wa kukaa baada ya hapo nasinzia. πππ
Kwanini usicheke sasa Hajarππππ Duuh.
Umenifanya nicheke Sesten. πππππ
Hahahaaa. Ndio hapo sasa maana nimecheka hiyo Totototoooooo kwani nimekumbuka Wimbo mmoja hivi.
πππππ kumbe na wewe ndio wale wale waimbishaji eeee?Kitendo tu cha kupewa nafasi ya kusinzia inaonyesha moja kwa moja ulie keti nae kwa siti hana swaga. Ukweli ni kwamba jinsia mbili tofauti kukaa pamoja kwa masaa kadhaa huku kila mtu akiwa kivyake hilo ni kosa kubwa la kimfumo pia haipendezi.
Hahahaaaaa, kumbukumbu zako zipo sahihi kabisa HajarHahahaaa. Ndio hapo sasa maana nimecheka hiyo Totototoooooo kwani nimekumbuka Wimbo mmoja hivi.
Hivyo nikavuta picha wanavyojibu Chuchuchuuuuuu. ππππ ikanibidi nicheke tu Hajar miee. Na natumai nimeongeza Umri.
Mi bukheri wa afya kabisa Hajar sijui weyeHahahaaaa. Sawa Sesten.
Mzima lakini?
Asubuhi iko poa kabisa Sesten. Haya bana tupo.
Good morning.....Hahahaaaa. Sawa Sesten.
Mzima lakini?