Chemistry tu uchangamfu, story mingi, kuongea kwingiHahahaaaa. Wataka mdada wa watu aangukiwe na jumba bovu.
Huwa naona mie pia ila sijui kwa nini hii tabia ipo na sijui anayekuwaga mdhaifu hapo ni nani kati ya Me na Ke maana waeza kuta ni katoto kanaenda shule na kamevaa sketi ya shule ila unakuta kanagandana na mtu kisa tu kakaa naye siti moja.
Ila hebu tujadili Wadau dawa ya hii kitu ni nini? Na ni nini inasababisha hii kitu?
Japo tusihalalishe kwamba wote wanaopeana namba lengo ni mapenzi.
Ooh sawa Mkuu.Chemistry tu uchangamfu, story mingi, kuongea kwingi
Inategemea ntu na ntu binafsi naweza nikakuchangamkia, tukapiga story lakini nisikuombe nambaOoh sawa Mkuu.
Hivyo kwa upande wako unaionaje hiyo watu wapunguze au? Maana ndio inazalisha mengi hiyo.
Hapo ni sawa kabisa. Maana kikawaida kama usemavyo huwezi safiri na mtu hata story isiwepo japokuwa mara nyingi zinakuwepo wakiwa jinsia mbili tofauti. ππππInategemea ntu na ntu binafsi naweza nikakuchangamkia, tukapiga story lakini nisikuombe namba
Msimamo tu sababu kutoongea na raia mwenzio kwa masaa 9 au 10 Wakati mmekaa pamoja ni Tatizo
Tatizo ni mwanamke. Kutongozwa ni kawaida, sio lazima akubali. Japo kuna ndugu m1 alilalamika kuwa kuna wanaume wanajua kuimbisha ni hatari. Safari ya Mwanza to Dom waweza jikuta unateremka Singida (kwa mwanaume), ila ni hoja dhaifuHahahaaaa. Wataka mdada wa watu aangukiwe na jumba bovu.
Huwa naona mie pia ila sijui kwa nini hii tabia ipo na sijui anayekuwaga mdhaifu hapo ni nani kati ya Me na Ke maana waeza kuta ni katoto kanaenda shule na kamevaa sketi ya shule ila unakuta kanagandana na mtu kisa tu kakaa naye siti moja.
Ila hebu tujadili Wadau dawa ya hii kitu ni nini? Na ni nini inasababisha hii kitu?
Japo tusihalalishe kwamba wote wanaopeana namba lengo ni mapenzi.
Pole sana Mkuu,lazima washukie MoshiBrenda Mungu anakuona!
Unajua kama wewe ni penda penda popote utapenda tu ila kama una misingi yako story haziwezi kukuyumbishaHapo ni sawa kabisa. Maana kikawaida kama usemavyo huwezi safiri na mtu hata story isiwepo japokuwa mara nyingi zinakuwepo wakiwa jinsia mbili tofauti.
Mie nshawahi safiri kwenda sehemu ila haikuwa safari ndefu ni kama masaa 6 hivi, nilikaa na mdada huyo ye yuko busy na simu yake mpaka tukafika aiseee.