Show za kibabe

Ma soft huwa wanalia wakiingia crater na wengine hata wakipanda ndege.
haha wanalia kisa ile barabara ya kuingia crater? Sikulia, ingawa pia nilipata hofu. Ile barabara imekaa kiajabu sana, makorongo ni mengi + vilima.
 
haha wanalia kisa ile barabara ya kuingia crater? Sikulia, ingawa pia nilipata hofu. Ile barabara imekaa kiajabu sana, makorongo ni mengi + vilima.
Basi kuanzia leo kama umeingia crater na hukulia basi nakupa uraia wa Ngarenaro.Uta cope tu bila wasiwasi.Wewe sio soft tena umekuwa solid.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…