Meli ya Kifahari ya abiria iliyo kubwa kuliko zote duniani ijulikanayo kama “Icon of the Seas” , imewasili kwa mara ya kwanza huko Miami nchini Marekani, ikitokea Finland ambako imeundwa.
Meli hiyo ilipokelewa kwa shangwe kubwa katika Bandari ya Miami na wakazi wa eneo hilo, mashabiki wa kampuni ya Meli za Royal Carribean na Wafanyakazi waliokuwa na shauku kubwa ya kushuhudia tukio hilo la kihistoria.
Pamoja na kuwa na hifadhi kubwa ya maji (waterpark) kuliko Meli zote duniani, meli hiyo ina vitu vingi vya kipekee ambavyo havikuzoeleka.
Ina urefu wa futi 154 kutokea chini, ina ghorofa 20, ndani yake kuna vitongoji nane. Ina jumla ya vyumba 2805 na inao uwezo wa kuchukua jumla ya abiria 7,600.
Meli hiyo itatoa huduma za safari za siku saba kwa watalii kwenda Mashariki au Magharibi mwa visiwa binafsi vya Karibeani.
Icon of the seas imetengenezwa katika mji wa Turku, nchini Finland, ilifanyiwa majaribio ya kwanza Juni 2023.
Meli hiyo ijulikanayo ”Icon of the Seas” inatarajiwa kuzindua rasmi safari zake Januari 27.
View attachment 2870361
Sent using Jamii Forums mobile app
Dagaa na nyanya chungu, mme zipatia aiseeView attachment 2869945
Tuishi humo
Salimiaaa basi, isije kuwa wote time shinda bar🤒
Bro shikamoo
Acha ulafi, wengine Hawa pendi wageni🤒Mimi mgeni wako rafiki,niwekewe ugali.
Acha ulafi, wengine Hawa pendi wageni🤒
Ninge kusukuma mtoni🤣😃, uliwe na crocodile albino 🤒
Cut out hiyo ubaguzi kijana,Ninge kusukuma mtoni🤣😃, uliwe na crocodile albino 🤒
Japo mi ni Jobless pro max, ila niko awake toka saa 11 Asubui🤒Cut out hiyo ubaguzi kijana,
Amka ukafanye kazi.
Oh!vizuri sana.Japo mi ni Jobless pro max, ila niko awake toka saa 11 Asubui🤒
Nime penda ujumbe wa kwenye mabango, lakini kwani sisi bongo hatuna ujumbee wa kiswahili, 😄
Unamaanisha hizi jumbe ziwekwe kwa kiswahili?Nime penda ujumbe wa kwenye mabango, lakini kwani sisi bongo hatuna ujumbee wa kiswahili, 😄
Enjoy your time broUnamaanisha hizi jumbe ziwekwe kwa kiswahili?
Cha kwanza nafkiri kwa ajili ya hadhira lengwa ndio maana ya kuweka jumbe hizi.
Ila kuna sehemu niliona jumbe za kiswahili wamechanganya na kingereza.
View attachment 2870538el
Kabisa kabisa.!
Hahaha!Enjoy your time bro
Jobless sija pata kazi leo🤒Hahaha!
Leo sijapata ugali wako hapa.