Show za kibabe

I texted you Whatsapp lakini sikuona any kind of your reply.
Kwenye namba ipi?

Ile local no. nilishangaa iko na usajili wa jina la mtu tofauti na langu,napata calls sio zangu, sms za waganga na freemasons🤣
 
Kwenye namba ipi?

Ile local no. nilishangaa iko na usajili wa jina la mtu tofauti na langu,napata calls sio zangu, sms za waganga na freemasons🤣
Yaah, ile ya Tigo.

Hata yangu pia iko hivyo, Tigo kuna wakati wanasumbua.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…