Intelligent businessman
JF-Expert Member
- Sep 6, 2022
- 46,408
- 102,434
Mi na wewe nani ana u laziness😀🤣.Hata kwa Forbes pages just broke down every point Mo aliyoongea...
kijana Quit slacking nakuambia.
That guy in the first interview is telling you to cut the laziness,think big and be quick to break down stuff from the bulk and simplify it.Sasa wewe na uvivu wako kututafunia wenzio umejifunza mengine na hayo umeyaruka na ulivyomchoyo tunaomba tujifunze unaanza kutusema.🤣
"No magic in success" amesema mhusika
Tunajifunza kwa watu kupitia watu,kama sina uwezo wa kuangalia nijifunze kama wewe ? Si ndio maana nimeomba unipatie hata maneno mawili 3 kutoka kwake kupitia wewe.Mi na wewe nani ana u laziness😀🤣.
👉Sipendi summary coz naamini Kuna detail una eza zimiss out.
👉 Point ndogo ndogo huwa na maana kubwa, that's why ni Bora uende kwenye source halisi🤒
Ila safi sana,unamfuatilia mfanyabiashara mwenzako mkubwa sana.Mi na wewe nani ana u laziness😀🤣.
👉Sipendi summary coz naamini Kuna detail una eza zimiss out.
👉 Point ndogo ndogo huwa na maana kubwa, that's why ni Bora uende kwenye source halisi🤒
Neno la kwanza si ni stop being lazy😀😂.Tunajifunza kwa watu kupitia watu,kama sina uwezo wa kuangalia nijifunze kama wewe ? Si ndio maana nimeomba unipatie hata maneno mawili 3 kutoka kwake kupitia wewe.
Kijana,una uchoyo mkubwa
Hata mkeo unampatia pesa ya matumizi ya kutosha kweli wewe?
Kaka mi jobless pro max😂😀🤒, nipe hata ulinzi 🙏🤒Ila safi sana,unamfuatilia mfanyabiashara mwenzako mkubwa sana.
Ndege wafananao huruka pamoja so nawe ni billionaire.😅
Sometimes takin' a shortcut is the right way to hit them goals😎.Neno la kwanza si ni stop being lazy😀😂.
👉Sa mbona una penda short cut😂😀.
Kazi yangu ujambazi,jambazi halindwi.Kaka mi jobless pro max😂😀🤒, nipe hata ulinzi 🙏🤒
Dewji Yuko busy, I saw him twice- kwa mbali lakini😀😂😂🤣.Kazi yangu ujambazi,jambazi halindwi.
Mfikishie ombi lako Dewji .
Dah mpishi ana jua
Safi kabisa.
.
OkDewji Yuko busy, I saw him twice- kwa mbali lakini😀😂😂🤣.
👉 Jobless nita sema 😂🤒
Amesha retire huyo🤒Ok
Fika kwa bwana mshana akupatie ujuzi kutoka msata.
Kumaanisha nini 🤔😁
Ya kweli haya?Amesha retire huyo🤒
Nimehamishia JF kwenye kifaa kingine so kinasumbua ku attach maana nilikuwa nataka nisindikize na ka picha kidogo.Kumaanisha nini 🤔😁