Show za kibabe

Hii nchi hii acha tu.. Hapo upande wa pili kuna mlima una unyayo mmoja mkubwa ni Mojawapo ya utalii pia ila tumelala tu.. Ulizia mguu wa Mungu ukiweza ufike kileleni uta enjoy

Sent using Jamii Forums mobile app
Ahsante mkuu nitafika hapo InshaAllah, ila hii sehemu ina kila kitu cha kuingiza top dollars hapa, wao wamewekeza wanatengeneza pesa,they don't take a shit kwa mlala hoi, hawajawekewa mazingira yeyote ya kuingiza pesa, pesa kwa royal families tu
 
Tuko wengi😂😀🤣🤣, situmii kilevi, sigara au mihadarati.
👉Shida nataka new taste, apart from soda and fresh juices.
👉 Nakojoa pazuri 🤒
Mpuuzi sana wewe kijana,🤣

Niko uchochoroni hapa nasubiri juice ya avocado na viazi nirudi nikalale.

Unaweza kujaribu hiyo yangu

Hiyo pazuri ni wapi?oslo...?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…