Show za kibabe

Nadhani atakuwa na fistula

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nimefika kwenye view point, ipo A1 na hapo ndio utaamini kuwa hawa viongozi wetu hawana kabisa Nia ya kuiendeleza nchi hii, hili eneo lipo tayari kwa ajili ya kuingiza usd nyingi tu na kutoa ajira kubwa wa poor of the poorest wa maeneo haya, why hatujengi cable car's ili kuvutia watalii zaidi, ili nchi ipate dollars?,tuelewe kwa kila watalii 12 wanaotutembelea ,ajira 1 inakuwa created, yaani wabunge wa huku nini wanakifanya?,mh.Makamba ametembelea sehemu nyingi tu hapa duniani why hakufikiria kujenga cable car hapa Lushoto?,cape Town inaingiza watalii zaidi ya 2M,na 40%,ya watalii hawa wanatembelea Table mountain kwa kutumia cable car,just imagine Lushoto wanapata watalii 300,000 kwa msimu, ajira kibao tungezalisha hapa
 
Hii nchi hii acha tu.. Hapo upande wa pili kuna mlima una unyayo mmoja mkubwa ni Mojawapo ya utalii pia ila tumelala tu.. Ulizia mguu wa Mungu ukiweza ufike kileleni uta enjoy

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…