Intelligent businessman
JF-Expert Member
- Sep 6, 2022
- 46,408
- 102,434
Dah we Jamaa 🤣🤣 🤣, wange kupa nafasi utaje mahari.Energy ya shemeji tena? Kachukua dada hivyo nalipa energy yangu kwa anayomfanyia huko private🤣
Hata dowry aliyotoa haimfkii thamani ya dada😅
Pako poa, usalama upo, parking IPO, mandhari Ime pangiliwa vyema.Wait niangalie mtandaoni ili nikapata muda nikatembelee.
Usalama upo?ili nikitaka kuiba vitu nikimbie vizuri🤣
Hahaha nje ya hii utani lakini kitu inaniuma ile serious ni hiko kitu na sababu nilikuwa mbali na mazingira yao 🤣Dah we Jamaa 🤣🤣 🤣, wange kupa nafasi utaje mahari.
👉 I bet unge sema un limited package 😀🤒
Kazi yenyewe Sina, hiyo mahari natoa wapi😀🤣😂😂.Hahaha nje ya hii utani lakini kitu inaniuma ile serious ni hiko kitu na sababu nilikuwa mbali na mazingira yao 🤣
Dowry ulitoka kiasi kikubwa au bado kijana wa "kataa ndoa"?
Damn..!Pako poa, usalama upo, parking IPO, mandhari Ime pangiliwa vyema.
👉 Vyakulaa ni vizuri pia, frsh juicew.
I got yah 😂🤣🤣🤣, ze second juicy zipo zipo ila angalia USI pigwe mshale na owners😂🤣🤣🤒Damn..!
Nina imani nitapata juice and juicy........!🤣
Hakuna mwenye kazi hapa,dowry unatoa hata kwa msaada wa ndugu.🤣Kazi yenyewe Sina, hiyo mahari natoa wapi😀🤣😂😂.
Cash is the bos...🤣I got yah 😂🤣🤣🤣, ze second juicy zipo zipo ila angalia USI pigwe mshale na owners😂🤣🤣🤒
Kaka nina bargaining team, Wana uwezo na capacity ya ku bargain hata na mtoa Roho😂🤣🤣Huyu lovely woman wako afike kutaja dowry ili tukusaidie kufanya makubaliano kabla wajomba hawajaenda ukweni🤣
Yeah ni kweli, though I prefer honesty.Cash is the bos...🤣
Niko vizuri, nime furahi kukuona kipenda Roho changu 💓💓🏃🏃.Mic too kipenzi u hali gani laazizi❤️🏃🏽♀️
Hadi mtoa roho?🙌Kaka nina bargaining team, Wana uwezo na capacity ya ku bargain hata na mtoa Roho😂🤣🤣
Yap, vipi nikupe namna ya kuongea nae😂😀Hadi mtoa roho?🙌
Hahaha asante sana.Yap, vipi nikupe namna ya kuongea nae😂😀
Nenda katikati ya barabara, Kisha sema wera au soul catcher😂😂😂🏃🏃Hahaha asante sana.
Kabla sijamalizia neno la mwisho nitajikuta kwa psychiatric hospital 🤣Nenda katikati ya barabara, Kisha sema wera au soul catcher😂😂😂🏃🏃
Shida wachungaji hampendi kuji funza, out side the box😂🏃.Kabla sijamalizia neno la mwisho nitajikuta kwa psychiatric hospital 🤣
Baki na mizimu yako kijana.
😂😂😂😂😂Sitaki zyutshdyhty😡😡😡Minywele zbshsjej