Show za kibabe




Kumbuka hao hao walitaka tukubali ushoga na hilo ungelisifia uone comments utazopata .
 
Mwanamke wa watu utamlinganisha na mambo ya ajabu?
 
Ile hotuba na mimi niliisikiliza. Kwakweli ilikaa vizuri
 
[emoji3][emoji3][emoji3] mi siimo ntakuchanjia Laki Moja Kati ya milioni 7
[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji24] [emoji24] [emoji24] [emoji25] [emoji25] [emoji25] [emoji144] [emoji144] [emoji144] [emoji144]
 
Kupitia Chanzo Cha Matatizo?

Hahahahahhahahahahah Mtani,acha hizo hapa ni Fweza tu.Huko kwa Chanzo Cha Matatizo hapana, naongelea alikotoka Obama!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!πŸ˜›πŸ˜›πŸ˜›
 
Sasa kamanda hiyo hotuba imekuletea ugali mezani kwako?
 
Hahahahahhahahahahah Mtani,acha hizo hapa ni Fweza tu.Huko kwa Chanzo Cha Matatizo hapana, naongelea alikotoka Obama!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!πŸ˜›πŸ˜›πŸ˜›
[emoji23] [emoji23] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] umeruka kama umekanyaga mbigili mtani
 
Viongozi wa Africa wakishachaguliwa na kuyapima madaraka yao wanajiona mungu watu..

Mwingine hata kama amepewa mamlaka ya kukamata tu basi utasikia akijisifu "nikisimama mimi ni mungu amesimama" hovyo kweli!

Huko nchi jirani kuna mmoja hadi leo ni mpigania uhuru na sio mtumishi wa wananchi!
 
Na ameweka wazi kuwa alipigania kwa maslahi binafsi !!! What a load of stupidity [emoji35] [emoji35] [emoji35] [emoji35] [emoji35]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…