Malick M. Malick
JF-Expert Member
- Apr 2, 2013
- 658
- 314
Jamani leo jioni kutakuwa na show ya tv ya mabox,nimeshajenga Kibanda,kibatari ninacho,mje na mafuta ya taa wana CC, ndio kiingilio,nimeshachonga vikatuni vingi sana,tutaangalia show mbali mbali,leo kuanzia saa moja usiku
"VV"
"VV"