Mkuu, alikiba ametokea tena wapi hapa ..unamuwaza sana kias hichoAli Kiba atasubiri sana kwa Diamond.
Mkuu, alikiba ametokea tena wapi hapa ..unamuwaza sana kias hicho
Kwel kabisa alafu show zake nyingi anapiga masaa ma5 Kama hii show ya Jana Mwanza.Diamond mpambanaji Sana, mengine tumwachie aliyemuumba, jamaa anahutlse sana, kupiga show nne Kwa wiki kwenye majukwaa makubwa sio kazi rahsi ni kazi ngumu sana japo watu wataona kama anapiga hela za bure, na ratiba yake ya show ipo tight sana but anajaribu kufight cse anatambua mda wake ndo huu, ukipita umepita....
Mchukue Ommy Dimpoz au Ben Paul apige show za kibabe bandika bandua kama tano hvi Kwa mfuatano uone kama hajatema ulimi na maralia juu
Mzee baba si katoa maoni yake bando si lake ana Uhuru wa kuongea chochote lakini asivunje taratibu au sheria za nchi.Mkuu, alikiba ametokea tena wapi hapa ..unamuwaza sana kias hicho
Jamaa hiv huyo mbona anakupangia chakuandika wakati bando ni lako.Kwani Ali Kiba ni mumeo?
Jamaa hiv huyo mbona anakupangia chakuandika wakati bando ni lako.
Huyu jamaa kwel anajituma Sana Jana tu kapiga show mwanza Leo yupo BurundiDefinition of hustler.
haters watasema hii ni photoshopDefinition of hustler.
Kumbe na wewe ulihama chama chako!!!!!!Si ndio hapo nashangaa. Yaani humu kuna watu wengine wana akili kama za baba yao Magufuli.
Kumbe na wewe ulihama chama chako!!!!!!