Mimi naona kama utetezi ndo umeegemea kwa Marry mtashindwa vibaya, Hebu tupeni defination ya neno mkazi, kabla hamjaenda mbali. Ili mtu awe mkazi inambidi awe ameishi maeneo hayo kwa kipindi kipi? je neno mkazi lilotumiwa hapo linahusiano gani na mkazi kwa maana ya mimi mtanzania na mkazi foreigner utofauti wake upo vipi?
Makinda alisema: Bunge letu hili lazima liwe na adabu ya hali ya juu; waziri mkuu na ahadi yake aliyoiweka ndani ya Bunge hili anaweza kulidanganya?
Na vipi kuhusu spika anapodanganya je mbunge anaweza kuomba muongozo wa spika na kanuni inasemaje ju hilo kwani naonapia anna makinda kalidanganya bunge
Kanuni za ubunnge mkazi ni yule anayekuwa kwenye eneo kwa muda usiopungua miaka mitano kabla ya uchaguzi husika. hizi ndo kumbukumbu zangu za hiyo kanuni!
Naamini na Chatanda alikuwa mkazi wa Arusha kwa huo umri!
Mkuu nashukuru sana kwa majibu yako. Sasa watetezi kwanza waturidhishe ya kwamba mary hakuwai kuishi arusha mda huo.Hata kama hakuwai ,binfsi sijui watathibitisha vipi huyu mama si mkazi wa Arusha.Haya mpira tunawaachia mtuthibitishie sisi hadhira madai yenu.
Ni Bwana yake tu anaweza kuthibitisha hilo.
nyie wengine wapiga matarumbeta tu
Kanuni za ubunnge mkazi ni yule anayekuwa kwenye eneo kwa muda usiopungua miaka mitano kabla ya uchaguzi husika. hizi ndo kumbukumbu zangu za hiyo kanuni!
Naamini na Chatanda alikuwa mkazi wa Arusha kwa huo umri!
Mkuu Mkazi ambayo ni Resident maana yake ni, A person who lives in a place for some continous time, distinguished from a visitor or transient. Hapo issue ya foreigner sijui imeingia vipi wangetaka kutofautisha wangetumia neno citizen (Mtanzania)Mimi naona kama utetezi ndo umeegemea kwa Marry mtashindwa vibaya, Hebu tupeni defination ya neno mkazi, kabla hamjaenda mbali. Ili mtu awe mkazi inambidi awe ameishi maeneo hayo kwa kipindi kipi? je neno mkazi lilotumiwa hapo linahusiano gani na mkazi kwa maana ya mimi mtanzania na mkazi foreigner utofauti wake upo vipi?
Mkuu Mkazi ambayo ni Resident maana yake ni, A person who lives in a place for some continous time, distinguished from a visitor or transient. Hapo issue ya foreigner sijui imeingia vipi wangetaka kutofautisha wangetumia neno citizen (Mtanzania)
Kwani foreigner hawezi kuwa resident?
Ofcourse foreigner anaweza kuwa resident lakini kuna kipengele ambacho kinasema mbunge lazima awe citizen, kwahiyo hapa in short as well as kuwa citizen lazima awe resident wa mkoa huo....
]Tangu tupate uhuru hatujawahi kuwa na waziri mkuu mwoga kama pinda.[/B].......hana uwezo wa kupambana na ufisadi wa kukemea ndio maana anaamua kudanganya hata bunge kwa faida ya mafisadi ingawa yeye mwenyewe sio fisadi.......kwa mtindo huu naye ni affiliated fisadi hivyo hatufai kabisa
Kuchomo kwenye hili haiwezekani bila kukazimisha na ndivyo itakavyo kuwa ......lema jiandae kukaa nyumbani vikao vitano vya bunge na itakapo kuwa hivyo rudi jimboni kawaambie walio kutuma kuwa nchi haina waziri mkuu ila ila ina kibaraka wa mafisadi anaye julikana kama waziri mkuu na kujiita mtoto wa mkulima
Ushahidi, kisheria, kibunge, ki-intelijinsia, kisiasa, ki-common sense all favours chadema more than PM. Kwa maneno mengine CDM ina wakati mzuri sana wa kurudisha heshima kwa ku-dela na watu dhaifu kama Pinda.
One of the things made Mwakyembe and his team popular is his influence to cause former PM to step down instantly! with this evidence CDM have got all reasons to force PM to step down at least to discpline other MPs indirectly.
Nistashangaa sana kama CDM itamkaukia Pinda katika hili, komaeni naye tumieni uwezo wenu woote ajiuzulu! that is another campaign for you in 2015!!