25th May huwa ni African day..uskurupuke...AFRICA UNION ina kitu wanaita solidarity concert..wasanii wapo weng kwnye list yao..Diamond kalipwa kama wengineJamaa kaona isiwe kesi,Kiki Hakuna Kaamua kujilipua kwa kununua Airtime ili Akiki siku mbili tatu
View attachment 1459491
Yani uchawi si lazima kuroga.Duu[emoji44]we jamaa ni mchawi
Mkuu kuwa tofauti kimawazo ndo uchawi?Duu[emoji44]we jamaa ni mchawi
DhibitishaNyie Guruguja sikilizeni Kwenye list iliyokua Imepitishwa Jina la Diamond na Nandy hayakuwemo, Wasanii waliokua Wamechaguliwa ni Alikiba na Harmonize
Baada ya Jamaa wa Wcb kusikia Huu Mchongo Jamaa wakazunguka Wakatoa Mpunga mrefu majina ya awali yakachomolewa na kupachika la Chibunye na Nandy..
Kaeni Kitaalamu Acheni kukaa kipimbi
Ngoma yake aloachia juzi quarantine ni ngoma mbovu kuwahi kutokea, lakini ni Bonge moja la ngoma linalomtambulisha duniani.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kama ulikuwa hujui huko kukata mauno na kucheza cheza ndio kunamfanya awe tofauti na wasanii wengine kwenye Stage na kuonekana yeye ni the Best .....Nakuhakikishia Huyo Burmaboy hana uwezo wa kumshinda Diamond platnumz on stage hana.Hapo kwenye performance anamzidi burna boy kunahitilafu kidogo ,usichukulie performance ya burna bongo kama ndio level zake ,yule mtu yuko na performance za moto since album yake ya outside na kwingine
Diamond ni mzuri tuu kwenye kukata mauno na kucheza cheza
It is never too late to begin. Start now
Hapa Africa performers nnaowaelewa ni Psquare na diamondKama ulikuwa hujui huko kukata mauno na kucheza cheza ndio kunamfanya awe tofauti na wasanii wengine kwenye Stage .....Nakuhakikishia Huyo Burmaboy hana uwezo wa kumshinda Diamond platnumz on stage hana.