Show ya Diamond nchini Oman

Wa oman waliotokea tz ni wengi sanaa, yan ile miji yote ya waarabu tz imehamia oman, yan ukienda kule unaweza ukakuta kijiji chako chote kipo muscat, kwa mfano kwa nzega Tabora kuna vjij vya warabu kama mwamala, itobo, bukene, mwangoye, nzega penyewe, ruhumbo yan asilimia 80 ya warabu walshapewa uraia oman, so kujaza huko ni kawaida maana nisawa anafanya show tz tuu na msanii yoyote anaetamba tz na kule pia wanamjua maana kutwa wanashinda wanafatilia habar za tz maana ndio kwao na wanazungumza kiswahil pia
Hahaha eti kujaza ni kawaida, wabongo kwakurahisisha maisha!
 
Hahaha eti kujaza ni kawaida, wabongo kwakurahisisha maisha!
Sasa sehemu yenyewe asilimia kubwa ya watanzania utashindwaje kujaz watu??? Yani hapoo ni sawasawa na uende kupiga show mombasa au Nairobi maana kwanza unakutana na watu ambao wanaelewa Kiswahili na wanafatilia mambo ya Tanzania
 
Unasahau kuwa kuna wasanii wanaandaa show hapahapa bongo na hawajazi hivyo? Sio rahisi kama unavyojitahidi kueleza hapa, okay byee!
 
Mji gani huo huko Oman. Maana Wa tz hasa wapemba ni zaidi 50%ya wakazi mji Wa Salalah huko Oman
 
Domo mwenyewe ashawai fanya show mbeya lakini ilifulia watu hawakufika ata mia 2 so usiseme kujaza uwanja ni jambo la kuchukulia poa
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom