Show ya Diamond nchini Oman

Na 75% ya walioko huko Oman,wana asili ya Tanzania.Ukisikia wafanyakazi wananyanyaswa,hawanyanyaswi na watu wa mbali,ni wenye asili ya Tanzania(kule wanaitwa waswahili)wana wanyanyasa watanzania wenzao.Na ndio huyo wamejazana hapo kwenye show hiyo.Kule wamepewa Uhuru,ngoma zote za asili za Tanzania,wanapiga na kucheza na kuimba kikabila.Japo ni nchi ya kiislamu,lakini wapo wasio na dini kama hao unaowaona.
Umenena vema.
 
Wa oman waliotokea tz ni wengi sanaa, yan ile miji yote ya waarabu tz imehamia oman, yan ukienda kule unaweza ukakuta kijiji chako chote kipo muscat, kwa mfano kwa nzega Tabora kuna vjij vya warabu kama mwamala, itobo, bukene, mwangoye, nzega penyewe, ruhumbo yan asilimia 80 ya warabu walshapewa uraia oman, so kujaza huko ni kawaida maana nisawa anafanya show tz tuu na msanii yoyote anaetamba tz na kule pia wanamjua maana kutwa wanashinda wanafatilia habar za tz maana ndio kwao na wanazungumza kiswahil pia
Ndio pale unaposikia mfanyakazi wa ndani,kanyanyaswa,au kafanyiwa lolote baya,ni watanzania wanawafanyia ubaya watanzania wenzao,sio wenyewe waarabu.Hao watanzania wanaoishi Oman,kule wanahesabika ni waswahili.
 
Wa oman waliotokea tz ni wengi sanaa, yan ile miji yote ya waarabu tz imehamia oman, yan ukienda kule unaweza ukakuta kijiji chako chote kipo muscat, kwa mfano kwa nzega Tabora kuna vjij vya warabu kama mwamala, itobo, bukene, mwangoye, nzega penyewe, ruhumbo yan asilimia 80 ya warabu walshapewa uraia oman, so kujaza huko ni kawaida maana nisawa anafanya show tz tuu na msanii yoyote anaetamba tz na kule pia wanamjua maana kutwa wanashinda wanafatilia habar za tz maana ndio kwao na wanazungumza kiswahil pia
Hilo ni jambo ka kawaida duniani kote!! Hata hawa Wa-Naija unakuta wanapiga sana pesa kwenye muziki kwa sababu wa-Naija wamesambaa sana duniani kwahiyo kila wanakoenda kupiga show inakuwa nyomi... lakini sio nyomi la wazungu bali wa-Naija wenzao na wengine from West Afrika!

Haitatokea wasanii wa Tanzania kuwapiga gap wasanii wa Naija kwa sababu, wa-Tanzania hawajasambaa duniani na ndio maana akina Kiba wakienda US wanaishia kupiga show viukumbi kwa sababu hakuna Watanzania wa kutosha US! Hata ukichukua Watanzania wote plus Wakenya na Waganda bado hawafiki hata nusu ya wa-Naija walio USA!!
 
Chibu kashasoma mwisho mwanzo na anajijengea msingi sasa hivi ili akiistaafu music aingize pesa kama jigga ndo maana kaanza kuwekeza mapeema yasije yakamkuta ya Mr nice..mjanja sana jamaa naskia alipo pale chibu ana nyumba nying kapangishia watu!,,ukimuona unamchukulia poa tu ila kuna mambo mengi ya kujifunza ktk maisha ya chibu asikiaye na afahamu
atafilisika tu
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom