Show ya Diamond London na kura za BET

Mzee wa Ndogo

JF-Expert Member
Oct 29, 2012
204
79
Nilikuwa najiandaa nimpigie kula diamond kwenye tuzo za BET lakini baada ya kuona video ya show yake ya majuzi huko kwa malkia imenibidi nifikirie mara mbili.Je nimpigie kura kwa kuwa ni mtanzania mwenzangu au kwa kuwa kiwango chake kipo juu katika kutunga na kughani mashairi? heaven on desert

See link Diamond live perfomance in London - YouTube
 
Last edited by a moderator:
Ni kweli Diamond ni mzuri but ningemshauri CD ipige beat tu sehemu ya mistari iimbwe live.huo ndo mziki wa kisasa
 
Pigeni kura wakuu dogo amejitahidi sana. Ujue na recording zetu si za ulaya wajameni.
 
Kama sifa au kuitangaza tz basi kuja kwa obama kumeitangaza tz vya kutosha,Hasheem Thabit anaitangaza tz vya kutosha so kumpigia domo ili haitangaze tz kwenye show ya siku moja ni Big No.
 
Toa basi nyimbo yako afu usitumie cd, acheni unafiki inaonekana mnamfagilia sana jamaa ndo maana umekuja kucoment
 
acheni dharau wandugu mnajua kuwa hiyo shoo diamond kalipwa sio chini ya milioni45 plus private jet from dar na hoteli nyota tano chumba hadhi ya rais kuanzia yeye hadi crew yake
 
inategemea show inaukubwa kiasi gani hata halo marekani kunabaadhi ya show huwa wanapiga playback so me sioni tatizo, kama suala LA kura dizain ni uamuz wa mtu tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…