Show ya Diamond London na kura za BET

Ni kweli Diamond ni mzuri but ningemshauri CD ipige beat tu sehemu ya mistari iimbwe live.huo ndo mziki wa kisasa
 
Pigeni kura wakuu dogo amejitahidi sana. Ujue na recording zetu si za ulaya wajameni.
 
Kama sifa au kuitangaza tz basi kuja kwa obama kumeitangaza tz vya kutosha,Hasheem Thabit anaitangaza tz vya kutosha so kumpigia domo ili haitangaze tz kwenye show ya siku moja ni Big No.
 
Toa basi nyimbo yako afu usitumie cd, acheni unafiki inaonekana mnamfagilia sana jamaa ndo maana umekuja kucoment
 
acheni dharau wandugu mnajua kuwa hiyo shoo diamond kalipwa sio chini ya milioni45 plus private jet from dar na hoteli nyota tano chumba hadhi ya rais kuanzia yeye hadi crew yake
 
inategemea show inaukubwa kiasi gani hata halo marekani kunabaadhi ya show huwa wanapiga playback so me sioni tatizo, kama suala LA kura dizain ni uamuz wa mtu tu
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom