Kitu kimoja, blog nyingi au site nyingi maarufu za habari za Tanzania ni mbaya, hazina mvutoo! Na ni kweli, wote mfumo wao mmoja matangazo nusu ukurasa halafu entries zinafuata! Kote kote, ndio hvyo hvyo hazikupi sababu kwanini uzisome!
Lakini hii, hii nzuri. It should be up there! Wengine waige. Maanake, taangu 2006 kuna watu blog zao ziko vile vile. Hata bgColor haija badilika! Hii nzuri, hongera!