My poor lady MJ1, jibu la ndoa sio kama hisabu ati, kwamba ukijumlisha moja na moja jibu lake mbili!
hata zamanai kulikuwa na mambo mengi tu sema no one took an effort to expose them. Starehe
zimeongezeka pia. Ukiingina internet cafe siku hizi ukaona wototo wa darasa sijui la nne wanachoangalia
humo, u will never go there again. Mimi nadahani we are getting westernized na inakuja with everything!
You just need to look at the divorce rates in say US to believe ..........
Hahahaaaaaaaaaaaaaa we baba acha ubaguzi wakati unamchagua mama yangu mwenye sura mbaya ulitegemea nini mtoto kazaliwa wajifanya kushangaa
Haya mambo ya ndoa ukifikiri sana yanachanganya, muhimu pata mtu mliopendana na kufanana kitabia kazi kwishaa.
MJ one umesikia habari ya ndoa iliyofungwa Arusha some six weeks ago? Ilikuwa ni harusi kubwa kweli kweli,mme mhaya mke mchaga na imevunjika exactly after 4 days,kwa kifupi imevunjika wanandoa wakiwa bado kwenye fungate na bi harusi akayeya zake na kurudi majuu akimwacha mume solemba. Hiyo couple wote ni 'nshomile mpaka no class',both families wana mihela kede kede,u beauty na u handsome wa hao jamaa no comment,lakini ndo hivyo hardly a week ndoa ikasambaratika jumla. You could be right MJ1 in your analysis make na hawa jamaa wana fit hiyo bill.
Hizi zama za usawa ndugu yangu, hakuna cha kusema ati mama wa nyumbani sijiu anachunga watoto. Wote watafutaDear broda hakuna cha internet cafeee wala nini sasa hv wababa wanakimbia majukumu yao dats why mungu mwenyewe alisema baba atatafuta kwa jasho na mama atazaa kwa uchungu sasa mama akijiangalia kila kitu anaachiwa yeye kuzaa yeye kutafuta pesa yeye anajionea tabu ya nini bora nikae tu mwenyewe. Lakini ndoa za wale wababa wanaowajibika kiukweli hata mwanamama anakuogopa na heshima juu
Hii ndo ilikuwa ya convenience? au walilazimishwa, mambo ya long distance haya!MJ one umesikia habari ya ndoa iliyofungwa Arusha some six weeks ago? Ilikuwa ni harusi kubwa kweli kweli,mme mhaya mke mchaga na imevunjika exactly after 4 days,kwa kifupi imevunjika wanandoa wakiwa bado kwenye fungate na bi harusi akayeya zake na kurudi majuu akimwacha mume solemba. Hiyo couple wote ni 'nshomile mpaka no class',both families wana mihela kede kede,u beauty na u handsome wa hao jamaa no comment,lakini ndo hivyo hardly a week ndoa ikasambaratika jumla. You could be right MJ1 in your analysis make na hawa jamaa wana fit hiyo bill.
Mbona mama ako mzuri namna hii? Itabidi nkufanyie DNA test lol
ukweli mwanamke ndiye anaeweza kuisimamisha ndoa au kuivunja period....... wamama zetu zamani walikua wavumilivu mno akiachwa na njaa hujui na alikua hata anaweza kuletewa mwanKiamke ndani anashushwa kitandani wanalala baba na hawala yake na asubuhi unawatengea chai na maji ya kuoga na bado husikii kwa jirani linabaki kuwa siri na wala mama hanuni so mwanamama ukiamua kuwa cool mambo lazima yaende byeeeeeeeeeeeeeee kwenye hiyo ndoa
Shikamoo Babu
i beg to differ....cku hizi wake/waume wote tunachangia kuvunjika kwa ndoa!....kwasasa Maty ni ngumu mwanamke kuvumilia hayo, maradhi haya hakuna atakaekubali mambo yawe mseto hivyo, halafu kila kitu kina wakati wake, enzi za kina mama zetu wao walikuwa tegemezi tu wa ndani, kuzaaa kila kukicha, cku hizi mwanamke kajikomboa na yeye anaweza kuleta makande ndani, bac mwanamke huyo hawezi kukubali kufanyiwa mambo yacyo sahihi kwa mfano ulioutoa....lakini ukweli unabakia kuwa anndoa tunakosa "uvumilivu" kwa kiac kikubwa na ndio inatu cost sana.
Hizi zama za usawa ndugu yangu, hakuna cha kusema ati mama wa nyumbani sijiu anachunga watoto. Wote watafuta
na kama wewe unakula na secretary na yeye ala na bosi, ngoma draw. Wewe stats za DNA hapo bongo hujazisikia?
hakuna cha kusema ni akina baba tu na hao akina mama kulikoni!
Wewe una kesi ya kujibu..........:A S angry::A S angry::A S angry:
mwanamke:
Ni mrembo wa sura, msomi, anakazi na kipato kizuri au ametoka katika familia bora kifupi ni mtu ambaye ni BORA.
Mwanaume:
Ni mzuri wa sura aka handsome/ana kazi nzuri na kipato kizuri/famous anajulikana na yeye mambo safi
😱
Mi bila kuiweka kwenye Magazijuto sielewi kabisa: so this can be presented as follows
If A = mwanamke mrembo wa sura, msomi, anakazi na kipato kizuri au ametoka katika familia bora kifupi ni mtu ambaye ni BORA.
and
B = Mwanaume mzuri wa sura aka handsome/ana kazi nzuri na kipato kizuri/famous anajulikana na yeye mambo safi
Therefore
Ndoa is equal to D?
Please note that D = Darfur
Au sijaelewa?
nidai soda...umeongea ya sikukuuu!!!!Wewe kama mwanaume hutakiwi kusema kuna usawa ukishikilia hilo unajikana labda kama wewe ni she. Usawa hakuna baba mwanaume ni mwanaume na mwanamke ni mwanamke jamani haya mambo ya usawa ni mazungumzo tu baada ya habari. Mimi nitaona kweli kuna usawa iwapo wanaume wataanza kubeba mimba na sio kwa kwenda kufanyiwa maoparesheni hivyo hivyo walivyo wabebe mimba na kuzaa hapo ndio nitakubali kuna usawa. Na hilo swala la kuleta wote kipato sio tija mbona hata zamani wakinamama ingawa walikua hawafanyi kazi lakini walikua wanalima na hivyo kuchangia katika nyumba zao
nidai soda...umeongea ya sikukuuu!!!!
Wewe kama mwanaume hutakiwi kusema kuna usawa ukishikilia hilo unajikana labda kama wewe ni she. Usawa hakuna baba mwanaume ni mwanaume na mwanamke ni mwanamke jamani haya mambo ya usawa ni mazungumzo tu baada ya habari. Mimi nitaona kweli kuna usawa iwapo wanaume wataanza kubeba mimba na sio kwa kwenda kufanyiwa maoparesheni hivyo hivyo walivyo wabebe mimba na kuzaa hapo ndio nitakubali kuna usawa. Na hilo swala la kuleta wote kipato sio tija mbona hata zamani wakinamama ingawa walikua hawafanyi kazi lakini walikua wanalima na hivyo kuchangia katika nyumba zao
Mi bila kuiweka kwenye Magazijuto sielewi kabisa: so this can be presented as follows
If A = mwanamke mrembo wa sura, msomi, anakazi na kipato kizuri au ametoka katika familia bora kifupi ni mtu ambaye ni BORA.
and
B = Mwanaume mzuri wa sura aka handsome/ana kazi nzuri na kipato kizuri/famous anajulikana na yeye mambo safi
Therefore
Ndoa is equal to D?
Please note that D = Darfur
Au sijaelewa?
C umeiacha wapi au C ni kubwa kuliko
mmh mmh apanaKwahiyo unataka kutuambia kuwa Bigirita = RoyaRoy?