Kaizer
Platinum Member
- Sep 16, 2008
- 25,320
- 17,822
Mke/mume ni tabia, wakati huohuo uwe tayari kuoa/kuolewa na huyo ulie nae. Tatizo ni kwamba.....Before marriages all our emotions zinakuwa zimekufa. Sasa itafika point ambayo emotions zitaanza kufufuka, hapo ndipo kazi marumbano yanaanza. Emotions hufufuka kutegemeana na wanandoa walivyozizika hizo emosions. Uzikaji hutofautiana, maana kuna wengine huzizika moja kwa moja na haziji fufuka, ila kunawengine huzizika (sijui miguu huwa nje) kwa mwezi, zina kuwa zimefufuka
Nikiangalia umri wangu unakimbilia 30, nikifikilia mke wangu atakuwaje huku nikishuhudia baadhi ya matukio ya ndoa BASI huwa namwambia Mungu "Wewe ndie unaeweza, naimani utanipa mke ambae tutasaidiana katika vitu vyote ..............................."
Nilikuwa nafikilia nikioa niweke "Marriage constitution". Na hii constitution iwe inafahamika na pande zote mbili, mimi na huyo mke wangu. Na iwe imeandaliwa kabla ya ndoa. Na tuwe tumeandaa wote wawili, tukiweka na adhabu pale mtu avunjapo....
Wana JF ninachowaza kinawezekana au?
Ba Mkubwa,umesikia FL1 ana discount ya 20% leo kwenye banda lake la mama ntilie? nashauri twende kabla haya mambo hayajatuchanganya kabisa....