mwaswast
JF-Expert Member
- May 12, 2014
- 12,781
- 6,481
Sawa profits ni kwenu but mbona mko nyuma yetu kiuchumi na kisiasa?Sasa kama unakubali Tanzanians wanamiliki reli na vitu vingine mnavyojisifia where do you think the profit goes? Jisifie for things that are 100% kenyan, sio benki za Aga khan, mining companies za wazungu, industries za wahindi etc.