Should Tanzania pull out of the EAC?

Should Tanzania pull out of the EAC?

Acha u chama, just be straight to the big issue..is EAC all abt Chadema???

Anyways, hii EAC is a west of time and resouce to us, we can do much better without it. We have countries apart from EAC member states which are more crutial for our economy..talk of zambia, malawi,mozambique etc. If we can invest more on economic relations with these kinda countries plus the SADC then we can let go of EAC on a single click......
 
We should. EAC was and, believe me, will never be again. We have been too good to our neighbours for far too long. Time has come to stand alone and consider options that are open to us. Be at least self-sufficient before we embark on joining others. Instead of cooperation they are undermining our efforts in consolidating the same cooperation (competition?).
It is true that we do not know what we’ve got until we lose them; but it is also true that we do not know what we’ve lost until it arrives.
We act now. We should not give them cause to complain.
 
Can anyone tell us whats CHADEMA's stance on EAC integration?
Should TZ pull our of EAC? If so what are your ECONOMIC reasons?
Does EAC even need Tanzania ?
Join Date : 1st September 2013
Posts : 8
Rep Power : 302
Likes Received0
Likes Given0

Kuweni macho na baadhi ya mada. Wanakuja kwa milango mingi.
Msome vizuri huyu rai wa nchi jirani. Chademea inahusu nini, na hiyo sentensi ya mwisho inalenga kuchochea hasira.
Kuweni macho Watanzania, kuna maadui wa wazi kama ''I will hit him'' na wa kiuchumi wanaojificha.

Mada kama hizi ni za kuangalia sana.
 
We need to look south for success. ..eac is a waste of time and resources. ...which reduces our competitiveness. We have become a constituency of kenyan companies and we hardly export any products or services to other eac countries of significant values.....our ports are full of lethargic tendencies. ..we can now turn our attentions to Zambia, Malawi and zimbabwe which are huge markets for our products. The problem is the dithering position of this govt which is not decisive and forthright. .....literally it does not know what to do....lost opportunity.
 
Hivi mmeshindwa ku nini huyu kisomi? Mbona tunajiabisha au wawili weekend Leo wako site?
 
hakuna nchi iliyowahi kujijenga imara isipokuwa kutoka ndani. Tuna resource nyingi na amani pia.kujiunga na grabbers ni kujitafutia matatizo.turudi kwenye mfumo wetu wa kujitegemea muone only 2 years.
 
Acha u chama, just be straight to the big issue..is EAC all abt Chadema???

Anyways, hii EAC is a west of time and resouce to us, we can do much better without it. We have countries apart from EAC member states which are more crutial for our economy..talk of zambia, malawi,mozambique etc. If we can invest more on economic relations with these kinda countries plus the SADC then we can let go of EAC on a single click......
Mkuu na kuheshimu sana! ksw nadhani kinakufaa sana!
 
Tanzania inatakiwa ijitoe kwenye Jumuiya ya Afrika Mashariki ( EAC) kwani Tanzania haijawa tayari kushirikiana na nchi hizi za Jumuiya ya Afrika Mashariki, ukiangalia kwa undani utaona kwamba Jumuiya hii ya Afrika Mashariki uundwaji wake wa sasa hivi umelenga zaidi kwenye kutaka nchi wanachama wa Jumuiya hii ya Afrika Mashariki kuiba ardhi iliyopo Tanzania, nakwambia ukweli kabisa mataifa haya jirani na Tanzania sababu kubwa ambayo imeyafanya yakubali kujiunga na Jumuiya hiyo ya ardhi ya Tanzania.
Sababu nyingine zinazifuata za kuhusu masoko ya bidhaa zao na ajira ni ndogo ukilinganisha nasababu hiyo ya ardhi,
Tofauti kidogo inaweza kuongezeka kwa nchi ya Uganda kwani rais Yoweri Museveni yeye anataka zaidi atambulike kama rais wa kwanza wa Jumuiya ya Afrika Mashariki, sasa maswali ya kujiuliza ni kwamba : Kwanini Watanzania tutumike katika matakwa na nia za watu wa nchi nyingine kujinufaisha kisiasa na kiuchumi kupitia nchi yetu na watu wetu wakati sisi tunabakia kuwa ombaomba kila siku ?
Ukishatafakari kuhusu majibu ya swali hilo utaona kwamba hakuna sababu ya Tanzania kung’ang’ania kwenye jumuiya hii.
Tanzania inaweza ikajitoa kwenye jumuiya hii na ikabakia kushirikiana na nchi hizi jirani katika maeneo yale yanyohusu ushirikiano wa kimataifa.
Swali lingine la kujiuliza ni kwamba : Je viongozi wetu wanavyopenda sifa hasa inapohusisha masuala ya nchi mbalimbali na za kimataifa, je wako tayari kwa maamuzi haya magumu yanayoweza kufikiwa hasa yakihusisha uhusiano wa nchi hizi?
 
Can anyone tell us whats CHADEMA's stance on EAC integration?

Should TZ pull our of EAC? If so what are your ECONOMIC reasons?

Does EAC even need Tanzania ?

Join Date : 1st September 2013
Posts : 8
Rep Power : 302
Likes Received0
Likes Given0

Kumbe wewe ni wa #Lumumba ? Wamekuandalia Buku 7 zako tayari? Karibu jamvini!

@Maxence, Manyerere Jackton
 
Last edited by a moderator:
Can anyone tell us whats CHADEMA's stance on EAC integration?

Should TZ pull our of EAC? If so what are your ECONOMIC reasons?

Does EAC even need Tanzania ?

Do't side step the wananchi as this issue concerns everybody. I vote big Yes​ for the motion!
 
Bingwa Sioni; hows your day...wajua LUGHA tulonayo EAC inacheza role kubwa tumeingiliana kiDamu na nasaba... more over....etc
Plz. Give time...! Yes we need EAC Since we have been interchanging for more thn 52 years.
" Don't take Decisions when you are ANGRY "
Actwise !!

Ok "Life is Short" labda nijielimishe kupitia kwako! Nipe faida hai, tangible, zinazoonekana, za ukweli na zinazofanana na hizo ambazo kwazo sisi tutanufaika kuliko wao watakavyotufaidi! Kumbuka kwa Watanzania wa sasa na Tanzania yetu lazima tuishi sio kusaidia wenzetu tena kama enzi zile tulipojitolea kwa hali na mali zetu, Ni wakati sasa na labda hii itatuamsha kwamba tufunge mikanda na hii BIG RESULTS NOW isiwe tena ni kama misemo ya mipasho!

Tungekuwa kama wenzetu Kenya na Wakenya basi "labda" kungekuwa na kila nia na haja ya kulipigania shirikisho lakini kwa sasa nasema BADO! Tujiinue kwanza humu ndani; kielimu, kitekinolojia, kiuchumi..viwanda, miundombinu ya usafirishaji, uzalishaji mali, chakula etc etc( mf. tunaingiza mchele, mahindi toka nje...kweli hii ni sahihi??) jazia na mengine unayoyajua halafu hebu tuandikie hapa hapa JF kwamba kwa nini mimi SIONI, ZANZIBAR-NYAMWEZI, Na wengine tusitake kuachana na huu up..uzi wa EAC?

Tupeleke hata hizi efforts zetu kufufua viwanda vyote vilivyokufa nchini..na kumbuka viwanda hivi ambavyo vilitoa ajira kwetu vilitaifishwa kiujanja ujanja na mikataba mibovu na hawa hawa makupe kwa nia ya kutugeuza sisi SOKO la kuuzia bidhaa zao. Nimewahi kumshuhudia waziri mmoja wa viwanda akisema "...hatuwezi kutaifisha kile kiwanda kwa sababu mkataba ulioingiwa unamkinga....kiwanda kimefungwa muhusika kahamisha machines na kila kitu kapeleka Kenya, huku ninyi mumekaa mwatoa mimacho tu....)

Na sasa hivi kwa elimu yetu ilivyoduni vijana wetu wengi hawawezi kushindanishwa na baadhi ya wenzetu wanaokuja humu nchini, ukisema tuingie tu then tutajirekebisha mbele kwa mbele au eti watatufanya na sisi tuamke nakataa...tunawaona walivyo huko kwao tunaweza kujifunza toka kwao wakiwa hukohuko! na sisi hapa tukiwasugua vizuri waliopewa dhamana hizi au kujenga uzalendo kwenye utendaji wetu nasi tutafikia.

Tuachane na kudanganywa danganywa huku kusiko na tija, tunataka kuzidi kujiangamiza tu! Vizazi vijavyo watakuwa makoloni ya hawa watu. Tazama tu hazina ya elimu wanayopatiwa vijana wetu, uliona matokea ya mitihani mbalimbali ilivyotoa taswira ya tunakoelekea. Jee tusipoamka sasa na kuhakikisha vijana hawa wanapatiwa hasa elimu inayotoa ushindani wa sasa na wa wakati ujao je watakuja kuwa wapi kama si vibaraka wa hawa watu? Na sizungumzii tu hata kwa hii EAC, hata nchi nyingine..wakija hapa na kuomba kazi hasa kwa mashirika makubwa makubwa wabongo wenzetu wamekuwa hawazipati hizi kazi japo zinafanyikia kwao. Nenda Nigeria halafu tafuta ni idadi gani ya wabongo wanaofanya kazi kule kwenye mashirika haya makubwa....

Tubadilike sasa na si kusubiri au kujitumbukiza zaidi kwenye shimo tutaloshindwa kutoka! Humu ndani tumalizane kwanza kabla ya kwenda huko nje.
 
Can anyone tell us whats CHADEMA's stance on EAC integration?

Should TZ pull our of EAC? If so what are your ECONOMIC reasons?

Does EAC even need Tanzania ?

Tanzania is being forced out. Rather than Tanzania taking the initiative to officially pull out, let them proceed with their aim of forcing Tanzania out of the EAC. If things do not work out later, at least nobody will say we pulled out. We can silently concentrate on SADC, else we can form a very strong bond with Burundi and DRC
 
Join Date : 1st September 2013
Posts : 8
Rep Power : 302
Likes Received0
Likes Given0

Kuweni macho na baadhi ya mada. Wanakuja kwa milango mingi.
Msome vizuri huyu rai wa nchi jirani. Chademea inahusu nini, na hiyo sentensi ya mwisho inalenga kuchochea hasira.
Kuweni macho Watanzania, kuna maadui wa wazi kama ''I will hit him'' na wa kiuchumi wanaojificha.

Mada kama hizi ni za kuangalia sana.

Ni kweli kabisa mkuu wanakuja na vimada uchwara vya uchochezi,lakini watagonga mwamba hatujalala.
 
Ok "Life is Short" labda nijielimishe kupitia kwako! Nipe faida hai, tangible, zinazoonekana, za ukweli na zinazofanana na hizo ambazo kwazo sisi tutanufaika kuliko wao watakavyotufaidi! Kumbuka kwa Watanzania wa sasa na Tanzania yetu lazima tuishi sio kusaidia wenzetu tena kama enzi zile tulipojitolea kwa hali na mali zetu, Ni wakati sasa na labda hii itatuamsha kwamba tufunge mikanda na hii BIG RESULTS NOW isiwe tena ni kama misemo ya mipasho!

Tungekuwa kama wenzetu Kenya na Wakenya basi "labda" kungekuwa na kila nia na haja ya kulipigania shirikisho lakini kwa sasa nasema BADO! Tujiinue kwanza humu ndani; kielimu, kitekinolojia, kiuchumi..viwanda, miundombinu ya usafirishaji, uzalishaji mali, chakula etc etc( mf. tunaingiza mchele, mahindi toka nje...kweli hii ni sahihi??) jazia na mengine unayoyajua halafu hebu tuandikie hapa hapa JF kwamba kwa nini mimi SIONI, ZANZIBAR-NYAMWEZI, Na wengine tusitake kuachana na huu up..uzi wa EAC?

Tupeleke hata hizi efforts zetu kufufua viwanda vyote vilivyokufa nchini..na kumbuka viwanda hivi ambavyo vilitoa ajira kwetu vilitaifishwa kiujanja ujanja na mikataba mibovu na hawa hawa makupe kwa nia ya kutugeuza sisi SOKO la kuuzia bidhaa zao. Nimewahi kumshuhudia waziri mmoja wa viwanda akisema "...hatuwezi kutaifisha kile kiwanda kwa sababu mkataba ulioingiwa unamkinga....kiwanda kimefungwa muhusika kahamisha machines na kila kitu kapeleka Kenya, huku ninyi mumekaa mwatoa mimacho tu....)

Na sasa hivi kwa elimu yetu ilivyoduni vijana wetu wengi hawawezi kushindanishwa na baadhi ya wenzetu wanaokuja humu nchini, ukisema tuingie tu then tutajirekebisha mbele kwa mbele au eti watatufanya na sisi tuamke nakataa...tunawaona walivyo huko kwao tunaweza kujifunza toka kwao wakiwa hukohuko! na sisi hapa tukiwasugua vizuri waliopewa dhamana hizi au kujenga uzalendo kwenye utendaji wetu nasi tutafikia.

Tuachane na kudanganywa danganywa huku kusiko na tija, tunataka kuzidi kujiangamiza tu! Vizazi vijavyo watakuwa makoloni ya hawa watu. Tazama tu hazina ya elimu wanayopatiwa vijana wetu, uliona matokea ya mitihani mbalimbali ilivyotoa taswira ya tunakoelekea. Jee tusipoamka sasa na kuhakikisha vijana hawa wanapatiwa hasa elimu inayotoa ushindani wa sasa na wa wakati ujao je watakuja kuwa wapi kama si vibaraka wa hawa watu? Na sizungumzii tu hata kwa hii EAC, hata nchi nyingine..wakija hapa na kuomba kazi hasa kwa mashirika makubwa makubwa wabongo wenzetu wamekuwa hawazipati hizi kazi japo zinafanyikia kwao. Nenda Nigeria halafu tafuta ni idadi gani ya wabongo wanaofanya kazi kule kwenye mashirika haya makubwa....

Tubadilike sasa na si kusubiri au kujitumbukiza zaidi kwenye shimo tutaloshindwa kutoka! Humu ndani tumalizane kwanza kabla ya kwenda huko nje.
Wandugu Sioni,
Well said umeniridhisha, Ninakubaliana na main factors ulizozipoint. Hapa nimenotice kuwa tuna Virus aina mbili:- UBINAFSI na WANATUSABOTAGE. bila kuogopa basi tufunge mikanda kama ulivyonena Wenyewe tujikimu kiuchumi.
Ubarikiwe kila la heri kwa waTZ.
 
Mkuu na kuheshimu sana! ksw nadhani kinakufaa sana!

sawa mwalimu wa kiingereza kwa kuona kosa la neon moja, I suppose kiingereza ulizaliwa nacho...anyways ulitakiwa kutoa mchango wako kwa mada husika sio kucheck grammar muraa..
 
Tanzania is being forced out. Rather than Tanzania taking the initiative to officially pull out, let them proceed with their aim of forcing Tanzania out of the EAC. If things do not work out later, at least nobody will say we pulled out. We can silently concentrate on SADC, else we can form a very strong bond with Burundi and DRC

and who is forcing TZ out? How?
 
Back
Top Bottom