Should Tanzania intervene to restore peace and order in Kenya?

Should Tanzania intervene to restore peace and order in Kenya?

Shughulika na watu wasiojulikana kwanza nchini mwako. Ally Kibao alishushwa kwenye basi mchana kweupe mlikuwa wapi?. Punguza unafiki kwanza.
 
Mimi ni mtanzania ulichoandika hapa ni Jaba Juice. Kenya is on track to be the richest country in East and Central Africa. Wakenya wanapiga hatua kuliko sisi. Kwa standard za kimataifa wapo juu. Wana Dual citizenship wakati huku tunang'ania watu kukana uraia. Ukienda Kenya uchumi unamilikiwa na wazawa wakati huku uchumi unamilikiwa na wahindi, waarabu na hivi karibuni wachina.

We jamaa ni Takataka
 
Back
Top Bottom