Analogia Malenga
Platinum Member
- Feb 24, 2012
- 5,292
- 10,842
- Thread starter
-
- #21
kwanini uende peku na mtu usiemuamini? kama wewe si wa kwanza ulitegemea asijue lolote kuhusu condom?
mi nlikuwa namuamini ila alivoniambia condom inamuumiza ndo nika doubt coz sijawah kutumia nae condom
Tatizo tumekuwa wote kitambo na aliniambia aliyefungua, alifungua zamani sana. Tena ni mwenyewe alisema kipind hko alikuwa hajui mapenzi.
mi nlikuwa namuamini ila alivoniambia condom inamuumiza ndo nika doubt coz sijawah kutumia nae condom
nakuuliza kwa mara ya 2 ulimkuta BIKRA?
wa ajabu kweli wewe......... kwani ulimkuta bikra
We vipi kwani ulimkuta bikra?
dah! pole sana , ila never trust a woman in your life labda awe mama yako.