cdm haina utaratibu wa kuunda unda tume kama ccmNi ZZK ndio anachunguzwa peke yake ndani ya Chadema? Dr Slaa anasema mbunge atakaepatikana kahongwa atachukuliwa hatua na kamati kuu ya Chadema, kwenye mambo ya rushwa na ufisadi yanayotea ndani ya serikali Dr Slaa uwa anataka iundwe tume huru kuchunguza lakini kuchukunguza ufisadi ndani ya Chadema Dr Slaa anataka wajichunguze wenyewe kwa nini Dr Slaa na wenzake wasiunde tume huru kuliko kuachia wabunge wa Chadema wajichunguze wenyewe.
hakuna mtu maarufu zaidi ya chama......zitto si lolote ndani ya cdmCDM ikimfukuza Zitto basi chama kinakufa. Zitto peke yake ndio mwenye msimamo,wengine wote ni makaragosi.
inawezekana jamaa hili swala lake la urais aliichomekea ili ikija hii kashfa isiwe na mashiko
Nilipenda hii iwe poll, mods please if you can help on that I will appreciate. Kuna taarifa kuwa kikao cha kamati kuu ya cdm kitakaa,na pengine kujadili issue iliyopo inayohusiana na Mh kupokea rushwa akiwa kwenye kamati kama mbunge wa chama hicho.However kama tunavyojuwa, inawezekana ushahidi ukawa wa kimazingira tu,
Yaani ukawa si ushahidi wa kuweza kumfikisha mahakamani etc.Kwa wale wana CHADEMA humu ndani,mngependa kamati kuu ichukuwe hatua gani,je should they fire him regardless?
Ama should mh quit before it all becomes embarrasing?Kwa wanaotaka awe fired, usisahau kutoa sababu,na unayetaka awe spared, just do the same.
Unadhani chadema inatakiwa kumsikiliza upande wake peke yake na kudisregard upande mwingine wowote ule?Ama pia unapendekeza washirikishe hatua zitakazotolewa bungeni?ki ukweli Zito anamatatizo yake lakini hili la ccm la ubadhirifu bado halitoshi kumhukumu nalo. Bado ninaamini kama CHADEMA tunapaswa kumsikiliza kwa upande wake kwa sababu inawezekana hii ikawa ni njia chafu za kumchafua na hata kutuchafulia chama chetu naomba kabda ya kuanza kumhukumu mtu uchunguzi ufanyike mapema sana na kuwe na ushahidi wa kutosha jamani. Isije baadae ikawa aibu.
atakuwa kasoma alama za nyakati,mfano we angalia tamko la kutaka urais ilitangulia halafu hizi kashfa ndo zinakuja,kwanini kashfa za rushwa hazijatangulia halafu ndo tamko la kutaka urais lifuatie?na ninakwambia kwa upande wa chama huu ndo mwanya pekee kutumia,ukishindikana hakuna njia nyingine ya kumtoa nje ya chamaKama ni hivyo unadhani kuna mtu alimtonya ama ni kusoma alama za nyakati?Ni coincidence ya ajabu,given how we have got to know wanasiasa, I won't be suprised if there are some calculated moves from aywhere as in from anyone...
CDM wafanye kilichofanywa na ANC kwa malema ni ku-fire tu mbona madiwani waliwafanyia hivyo kwani zitto ni zaidi ya chama????
Kwahiyo unapendekeza ajivue hizo nyadhifa kupisha uchunguzi unaoendelelea?Hata yeye Zitto atatakiwa kupima kama atastahili kuendelea kuwa katbu wa chama, naibu kiongozi wa upinzani, mjumbe kamati kuu na mbunge wa kigoma kaskazini! Baada kuthibitika kwa tuhuma kwa mazingira au vyovyote vile!
Ikithibitika pasipo shaka Zito kaomba au kala mulungula basi hana budi kwenda nccr mageuzi kugombea urais
Hapo red sijakuelewa, huenda ulimaanisha spared.
I still have trust in Zitto.
Nasita sana kuamini kuwa this too smart boy could be tempted with money-thing!
Aidha naijutia siku ambayo kamati itagundua na kuweka wazi kuwa Zitto amepokea rushwa in the name of money or whatever token!
Heri ziku hiyo isingalizaliwa chini ya jua!
akifanya hivo atakuwa politically mature person!!Kwahiyo unapendekeza ajivue hizo nyadhifa kupisha uchunguzi unaoendelelea?
Zitto akiwa msafi no problem, lakini Zitto mla rushwa (kama ikithibitika) katiba ya yetu inasema wazi, mla rushwa NO!Dada Waridi habari za siku nyingi?unadhani NCCR-Mageuzi mna jeuri ya kumkataa mh Zitto?
Zitto akiwa msafi no problem, lakini Zitto mla rushwa (kama ikithibitika) katiba ya yetu inasema wazi, mla rushwa NO!
Halafu ujue huyu Mhe. huku kwetu tayari ana tuhuma za kutuvurugia chama.