Sio wahuni wa Benghazi, acheni kuwa walafi wa pesa za Ghadaffi...
Nchi zote zenye Ubalozi wa Libya wafanyakazi wa Ubalozi huo wakiukubali utawala wa sasa wa Wapinzani, wanabadilisha Bendera
Hii ni bendera halali ya nchi ya Libya baada ya Uhuru; Ilibadilishwa kuwa kijani baada ya Gadaffi Green Revolution.
Watanzania hatujui Uzalendo wa watu tena? it was People's Power Revolution.
<br />Nafikiri Tanzania imechukua msimamo mzuri. Kuwatambua hao jamaa kama ni viongozi halali wa Libya ni kukubaliana na approach ya upokaji madaraka ambayo waasi wameitumia. Naunga mkono hoja.
hiyo bendera ya wazee wa pick up ndo ilikuwa inatumika kabla ya gadaffi kupindua nchi.gadaffi kaondoka na bendera yake imeondoka.ushabiki ndo unamsumbua membe.mia
Mzee mzima kaondolewa kwa pick up tu ilikuwa hakuna haja ya kurumia vifaru vya mizinga.hiyo bendera ya wazee wa pick up ndo ilikuwa inatumika kabla ya gadaffi kupindua nchi.gadaffi kaondoka na bendera yake imeondoka.ushabiki ndo unamsumbua membe.mia
hahahaha!Mzee mzima kaondolewa kwa pick up tu ilikuwa hakuna haja ya kurumia vifaru vya mizinga.
Sio wahuni wa Benghazi, acheni kuwa walafi wa pesa za Ghadaffi...
Nchi zote zenye Ubalozi wa Libya wafanyakazi wa Ubalozi huo wakiukubali utawala wa sasa wa Wapinzani, wanabadilisha Bendera
Hii ni bendera halali ya nchi ya Libya baada ya Uhuru; Ilibadilishwa kuwa kijani baada ya Gadaffi Green Revolution.
Watanzania hatujui Uzalendo wa watu tena? it was People's Power Revolution.
Who told u dat it was pple's power revolution? For ur information, This is western power(NATO) revolution. After all the fighting is still going on.
utaratibu ufuatwe, sio kutundika tu na kesho kutwa mwingine ataanzisha uasi ugenini kwa kushusha bendera ya utawala asioutaka
Sio wahuni wa Benghazi, acheni kuwa walafi wa pesa za Ghadaffi...
Nchi zote zenye Ubalozi wa Libya wafanyakazi wa Ubalozi huo wakiukubali utawala wa sasa wa Wapinzani, wanabadilisha Bendera
Hii ni bendera halali ya nchi ya Libya baada ya Uhuru; Ilibadilishwa kuwa kijani baada ya Gadaffi Green Revolution.
Watanzania hatujui Uzalendo wa watu tena? it was People's Power Revolution.
Panua mtazamo. Ukiwa umeudhiwa na kubadilisha bendera, mwambie balozi umtambui tena na aondoke nchini. Mtazamo wako ni wa kikasumba zaidi - NTC wana wawakilishi hata uko UN!! Umewasikia wanakasumba wenzio (AU) wakitaka serikali ya shirikisho na watu wa Ghaddafi. Mtu aliyeuwa raia wake, kisha akaondolewa kwa nguvu - anawezaje kushirikishwa kwenye serikali. Au hujui vita au uasi ulikuwa una maana ya kuondoa kabisa kila kitu cha Ghaddafi?? Usiangalie bendera, angalia badiliko la kiitikadi.
Serikali ya jamhuri ya Muungano imeijia juu ubalozi wa Libya nchini kufuatia kitendo chake cha kushusha bendera iliyokuwa ikitambulika awali(ya Gadaffi) na kupandisha ya 'wahuni' wa Benghazi ikionekana ni kufata upepo baada ya utawala wa Gadaffi kung'oka madarakani bila ya taarifa.
mjini tripoli wameendelea na uhuni wao kwa kuwarusha kichura wafuasi wa Gadaffi na pia wameiba vidonge vya kansa alivyokuwa akitumia El Meghrabi ili kumwongezea uhai
| |
| As global powers become more interested in Africa, interventions in the continent will likely become more common. Mahmood Mamdani Last Modified: 30 Aug 2011 11:12 |
You are lacking something