Shost Flora alivyopambana

Shost Flora alivyopambana

Ilikuwa mwaka 1995 wote tukiwa wanafunzi nilikutana na shost anaitwa Flora kutoka Nigeria. Flora alitoka Benin Estate nchini Nigeria. Watu wa state hii wana rangi kama ya wa watu wa Arusha. Mimi na Flora tuliishi nyumba moja. Flora alikuwa na uzuri wa asili.

Flora alisaidiwa kutoka nchini kwao kwa msaada wa mjomba. Hakuwahi kunieleza habari za baba yake lakini alinifahamisha tu kuwa mama yake na mdogo wake wa kiume wanamtegemea yeye. Ilibidi afanye kazi na kumpelekea mama yake hela ya pango nyumbani pamoja na mahitaji mengine. Flora alishindwa kuendelea na shule kutokana na majukumu.

Siku moja akiwa kituo cha train alikutana na kijana mmoja wa kizungu. Alimzidi Flora kama miaka mitano. Kijana alivutiwa sana na urembo wa Flora. Alianza maongezi mara train ya shost ilifika. Train ya mzungu ilikuwa nyuma kusubiri dakika 10, mzungu alijitosa na Flora aliimba mpaka alifanikiwa kupata contacts.

Baada ya pale mzungu alitutembeleana shost kunipa mkanda mzima. Mzungu alikuwa mwandishi wa habari na alimpenda shost mazima. Mipango ya Flora ilikuwa kwenda USA kujaribu maisha pale alishaona hali ngumu.

Alianza kumwambia mzungu kuwa mama yake ana cancer na matibabu ni private hospital Nigeria. Mzungu alidondosha cheque ya nguvu. Shost alilipia shule USA na kuanza mipango ya safari. Kulikuwa na pesa ya shopping na ukichanganya na pesa yake ya kazini Flora alifanikisha safari pasi kumuaga mzungu.

Kijana wa watu aliumia sana. Tusiumize wanaotuthamni.
Mimi ninaye mmoja hapa, alijaribu kupiga mzinga wa 3mil. Akakosa.
Akajaribu wa 1.5mil. Akakosa
Akajaribu wa 300,000.

kakosa pia.

Sasa hiviyuko bussy kupiga mizinga ya VOCHA za bukubuku.
 
Huyo amekosea kawaida alipobeep 3m na kuona wrong namba angepotea mazima
 
Huyo amekosea kawaida alipobeep 3m na kuona wring namba angepotea mazima
To me, even a single coin counts.
Mazingira yanampa matumaini.
Hajui kuwa, wajasiriamali sio wa hivyo.
 
Ilikuwa mwaka 1995 wote tukiwa wanafunzi nilikutana na shost anaitwa Flora kutoka Nigeria. Flora alitoka Benin Estate nchini Nigeria. Watu wa state hii wana rangi kama ya wa watu wa Arusha. Mimi na Flora tuliishi nyumba moja. Flora alikuwa na uzuri wa asili.

Flora alisaidiwa kutoka nchini kwao kwa msaada wa mjomba. Hakuwahi kunieleza habari za baba yake lakini alinifahamisha tu kuwa mama yake na mdogo wake wa kiume wanamtegemea yeye. Ilibidi afanye kazi na kumpelekea mama yake hela ya pango nyumbani pamoja na mahitaji mengine. Flora alishindwa kuendelea na shule kutokana na majukumu.

Siku moja akiwa kituo cha train alikutana na kijana mmoja wa kizungu. Alimzidi Flora kama miaka mitano. Kijana alivutiwa sana na urembo wa Flora. Alianza maongezi mara train ya shost ilifika. Train ya mzungu ilikuwa nyuma kusubiri dakika 10, mzungu alijitosa na Flora aliimba mpaka alifanikiwa kupata contacts.

Baada ya pale mzungu alitutembeleana shost kunipa mkanda mzima. Mzungu alikuwa mwandishi wa habari na alimpenda shost mazima. Mipango ya Flora ilikuwa kwenda USA kujaribu maisha pale alishaona hali ngumu.

Alianza kumwambia mzungu kuwa mama yake ana cancer na matibabu ni private hospital Nigeria. Mzungu alidondosha cheque ya nguvu. Shost alilipia shule USA na kuanza mipango ya safari. Kulikuwa na pesa ya shopping na ukichanganya na pesa yake ya kazini Flora alifanikisha safari pasi kumuaga mzungu.

Kijana wa watu aliumia sana. Tusiumize wanaotuthamni.
usirudie tena huo mchezo Flora
 
Hakufanya uungwana hata kidogo
Binadamu bwana basi tu
 
unaonekana sio mwandishi mzuri stori zako huwa unaishia juu juu unashindwa ku conclude km pdidy..walimu wako walipata taabu sana kwenye essay zako kuunganisha mawazo na mnyumbuliko anuwai.
Kwahiyo kwa kifupi kabisa ni kwamba hujamwelewa?

Hizi shule za siku hizi walimu wana kazi sana...
 
Bangi mbaya sana!! Hivi kudanga ndio kupambana
 
hii story kuna watu ukiwasimulia wakakuandikia itakuwa nzuri sana dada yangu.. wasiliana na waandishi wazuri wa stories humu ndani....
 
Back
Top Bottom