Shortcut ya makaburini

white hat

JF-Expert Member
Dec 16, 2016
3,321
2,490
Nimepita zangu SHORTCUT ya makaburini
nimekutana na warembo wawili wanatetemeka,
wakanikimbilia eti! wanaogopa kupita
makaburini,, basi na mimi kwa mbwembwe
nikawajibu "Hata mie kipindi nipo hai nilikuaga
naogopa!! UNAWEZA KUBASHIRI KIPI
KILIFUATIA???
 
Back
Top Bottom