Short women vs tall women

mimi ni mrefu 6 feet na kadhaa,but ndhan i am attracted na wadada wafupi,na kwa sasa wifi/shemeji yenu ni short,akiwa hajavaa highheel hafiki begani,i wish ningeweka picha hapa,basi tu all in all haya mambo yanatokeaje,sometimes ni natural course hapa unaweza kupanga kuwa na mdada mreefu kuja kushituka uko na mtu wa kimo cha chini,all in all nadhan ni vyema mwanaume akawa mrefu zaid ya mdada,labda kama mkaka ni mfupi sana anataka kutengeneza mbegu ndefu akichukua kitu kirefu ni uamuzi wa busara sana.....
 
Uko very right mkuu....

Tena tunavyozidi kuwa wafupi ndio kila kitu kinavurugika

TIMING Duh lakini we jinsi gani maana sio rahisi kuukubali ukweli na udhaifu kwa haaka namna hii ila wewe u wa tofauti hakika na kwautofauti huu itakuwasaidia katika mengi
 
Last edited by a moderator:
Uko very right mkuu....

Tena tunavyozidi kuwa wafupi ndio kila kitu kinavurugika

Kama nilivyotangulia kusema hii topic haijakusudiwa kumshushia mtu heshima,so mkuu angalia sana maneno unayotumia yasiumize wengine,hilo neno vijibushuti sidhani kama ni neno zuri kulitumia.Heshima iwe mbele mkuu asante.

soli (sorry)ya kiatu lakini huyu jamaa hapa hajaona kama nimemkwaza hivyo naomba msamaha kama kwa nieno kijubushuti nimemkwaza yeyote. asanteni kwa kunielewa
 
Bana acha kujiona hufai kila kilamtu ana thamani na sehemu yake awe mfupi au mrefu.

Sijasema sifai...nafaa kwa matumizi mbalimbali, what i dont understand ni kwanini watu "warefu" are looking down on us (no pun intended) lol
 
Wanawake warefu wana mashimo hayooo!!!
 
Nakuunga mono mkuu kimo hakidetermine uwezo wa mtu katika kazi,maamuzi wala kutengeneza pesa ni personality aliyozaliwa nayo mtu ndo inamuongoza kufanya vizuri katika sekta zote hizo.

Ahaaahaaaah !!! Ulikuwa unapima upepo eeeh ?! Demu demu tu ,awe short au tall ,inategemea kakugusaje mtimani bhana. Wengine tunaangaliaga:
1)sura ie macho,lips,dimples,tabasamu.
2) utundu beddini. Sio demu kitandani gogo gogo khaaaa.
3)Ucheshi na tabia njema.
4)kujituma na mawazo yalioenda shule. Sio kademu kavivu hata katika kufikiri,bhaaaaaa
5)mapishi bora.
6)kukusoma,uko katika hali gani na akuhandle vipi.
.... Hapo hata akiwa mlemavu wa viungo, beba beba tu.
 
Sinaga shida na urefu na ufupi.. Tatizo langu lipo kwenye unene na wembamba
 
Aiseeee i gues huyo mdada wako ana raha sana.Hongera mwayego.Hebu tuambie unahisije uapomwita huyo darling wako baby afu kumwangalia mpaka ummwinamie?si raha eeeeehhhhh?
 
Hints za ukweeeee,kwa hiyo mdada akiwa na hivyo basi we DAWA YA SIKIO hoiiiiiii husikiii wala huongei?Haya bana nakutakia kila la kheri umpate mdada wa hivyo,kama unaye tayari hongera.
 
Last edited by a moderator:
soli (sorry)ya kiatu lakini huyu jamaa hapa hajaona kama nimemkwaza hivyo naomba msamaha kama kwa nieno kijubushuti nimemkwaza yeyote. asanteni kwa kunielewa
Hongera kwa kuwa na busara,na kwa hilo nina imani yeyote ambaye kwa namna moja ama nyingine alikuwa amekwazika atakuwa ameelewa.
 
Sijasema sifai...nafaa kwa matumizi mbalimbali, what i dont understand ni kwanini watu "warefu" are looking down on us (no pun intended) lol
Actually that' confusing:confused2:,sijui ni kwa nini wanafanya hivyo?
 
Hongera kwa kuwa na busara,na kwa hilo nina imani yeyote ambaye kwa namna moja ama nyingine alikuwa amekwazika atakuwa ameelewa.

Thanks! unajua haya maneno tumekuwa wakati mwingine tukiyatumia huku mtaan bila kuona shida sasa wakti mwingine tunajisahgau hata kwenye mitandao ya kijamii tunayaweka bila kujua kuwa kwanamna moja au nyingine tunaweza kuwakwaza wengine. nashukuru kwa kunielewa na ninaomba wote mmnielewe. Asante tena
 
Tupo pamoja mkuu.
 
Aiseeee i gues huyo mdada wako ana raha sana.Hongera mwayego.Hebu tuambie unahisije uapomwita huyo darling wako baby afu kumwangalia mpaka ummwinamie?si raha eeeeehhhhh?
sure,nisingependa kumsemea lakini nahisi itakuwa hivyo tu..........................
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…