short time maanake nini ??

short time maanake nini ??

BASIASI

JF-Expert Member
Joined
Sep 20, 2010
Posts
9,732
Reaction score
5,011
jamani msaada
kuna jamaa nilim,pa lift baada ya muda nikasimama sehemu akaongea na binti mmoja nikasikia tu short time then wakaenda kwenye bajaji..akaoma nimsubiri afrikasana nikia nasubiri ugali mbuzi hata dk kadhaa azijafika namwona amerudi yuko hoi ..nauliza short time unafanywa nini??

na je shorttime na longtime ipi njema
 
Short Time ni kingereza lakini kiswahili ni muda mfupi. Kama alikuja kachoka muulize alikuwa alima au keshakimbia 7km tayari???
 
jamani msaada
kuna jamaa nilim,pa lift baada ya muda nikasimama sehemu akaongea na binti mmoja nikasikia tu short time then wakaenda kwenye bajaji..akaoma nimsubiri afrikasana nikia nasubiri ugali mbuzi hata dk kadhaa azijafika namwona amerudi yuko hoi ..nauliza short time unafanywa nini??

na je shorttime na longtime ipi njema
jamaa yako au wewe mwenyewe!any way short time ni kwenda haja ndogo.
 
Haja ndogo aende na mwanamke arudi amechoka weeeeeeeee
 
Short time itakuwa ni jina la mahala lakini bajaji hazifiki lakini alienda anakimbia baada ya kushuka kwenye bajaji, na huyo mwanamke ndo anajua njia
 
jamani msaada
kuna jamaa nilim,pa lift baada ya muda nikasimama sehemu akaongea na binti mmoja nikasikia tu short time then wakaenda kwenye bajaji..akaoma nimsubiri afrikasana nikia nasubiri ugali mbuzi hata dk kadhaa azijafika namwona amerudi yuko hoi ..nauliza short time unafanywa nini??

na je shorttime na longtime ipi njema

Short time maana yake muda mfupi.
 
jamani msaada
kuna jamaa nilim,pa lift baada ya muda nikasimama sehemu akaongea na binti mmoja nikasikia tu short time then wakaenda kwenye bajaji..akaoma nimsubiri afrikasana nikia nasubiri ugali mbuzi hata dk kadhaa azijafika namwona amerudi yuko hoi ..nauliza short time unafanywa nini??

na je shorttime na longtime ipi njema


Una umri gani? Swali gani hilo unauliza kwa kuanzisha thread mpya....
 
Aisee Basiasi wewe kweli uko back sn yani bado upo stone age! Cc 2napga long tym. Hiyo shot tym ulpga wap?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom