Mwachiluwi
JF-Expert Member
- Mar 10, 2022
- 33,913
- 67,435
Wewe uko wapi sasa ulichukuliwa au unalinda milango ya mabasi za muendo kasi?Kipindi tupo maservice enzi izo kambi fulani kulikuwa na op ilio tutangulia sasa kulikuwa na kijana mmoja maarufu sana anaitwa ngosha so sisi op mpya tulivyo fika pale kikosini tukamkuta sisi tulikuwa majuorner yaan wadogo wale ndio sinior
Alikuwa anaishi kama afande yaani p staf hukuti anachangamana na maservice wenzie hata kidogo yeye marafiki zake ni p staff na alikuwa nawachoma wenzie
Ilikuwa akikukuta wewe journer unakosa anakupiga doso wakati anakupiga doso anakwbia una mugemea nan hapa kikosini unajua mm kwetu ni majeshi nina ndugu breged nina ndugu kanal uyo ndio mwenye cheo kidogo hadi meja general sisi kwetu wapo
Maisha yakawa ivyo kwa huyo kijana wakati jwtz imekuja fanya usahili kwa vijana yeye alikuwa ni mtu wakujitapa tu bog haliniachi mwisho wa siku bog limekuja kusomwa hayupo yaani hakutajwa kabisa baada ya hapo maisha yake yalikuwa ni ya kuchekwa na kutolewa mfano tu
Kuna la kujifunza hapoa
Nipo zangi nalinda soko la mbagala hapa sihabaWewe uko wapi sasa ulichukuliwa au unalinda milango ya mabasi za muendo kasi?
Kumbe, ila mkuu fanya juu chine uahimishiwe pale stendi ya magufuri mbezi kuna maokoto ya 200 getini paleNipo zangi nalinda soko la mbagala hapa sihaba
Nifanyie mpango basKumbe, ila mkuu fanya juu chine uahimishiwe pale stendi ya magufuri mbezi kuna maokoto ya 200 getini pale
Lakini rungu unalo?Nifanyie mpango bas
LipooLakini rungu unalo?
Ahahha bahat mzur wala sio port ni mwalimu wa shule ya msingi nafindisha mwandikoPotiiiiiii, huuu mwandiko tu unanpa shaka kama ndo mlinzi wetu wa amani kweli....kazi ipooo🧑🦯➡️
MakaoUlikuwa OP gani?
Ni mwalimu sasaSawa afande upo Kambi gani?
VizuriNi mwalimu sasa
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Potiiiiiii, huuu mwandiko tu unanpa shaka kama ndo mlinzi wetu wa amani kweli....kazi ipooo[emoji3167]🦯[emoji3591]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Short story nimesoma na kuimaliza nikiwa na dicloper hapa. Na hapa "majuorner yaan wadogo wale ndio sinior" ndio pameniongezea Maumivu. Well Short Story nzuri Kuna lakujifunza kama ulivyosema.[emoji26]
Pole sana! Hawa ndo vijana tulionao kwenye vyombo vya Ulinzi na UsalamaShort story nimesoma na kuimaliza nikiwa na dicloper hapa. Na hapa "majuorner yaan wadogo wale ndio sinior" ndio pameniongezea Maumivu. Well Short Story nzuri Kuna lakujifunza kama ulivyosema.😥