Short listed candidates at TPDC

Dogo Tundu

JF-Expert Member
Joined
May 25, 2009
Posts
448
Reaction score
189
Majina yako gazeti la majira ila kama kuna mtu ana weza upload hapa basi atakuwa amefanya jambo jema kwani kuna members wengi sana humu waliomba.
Walioitwa kwenye huo usaili nawatakieni heri mkashinde.

 
Duh aptitude test hizi jamani ni too much.. Ts psychological torture kwa kweli..
 
Kinachofuata kule msimbazi centre ni nin oral interview??
 
Mambo ya "uptitude test" ni mambo ya ushamba tu, hata kama ajira ni ngumu lakini sina imani na uptitude test. Mashirika mengine yana-copy tu!. Hii kitu nai-dis sana. Ila samahani kama nitakuwa nimewakwaza baadhi yenu. Ila uptitude test ni Ujinga tu, "Copying and Paste Itatugharimu watanzania!!!!!"
 
Anayeza ayamwage hapa wenye michina washushe pressure
 
haya yote ni baada ya shortlist!? ...na sio ajabu ukakuta wanahitaji chini ya watu kumi tu. Hapo ndipo unakuta mtu anaanzia Bagamoyo kwa 'mtaalamu' kabla ya kwenda kwenye interview yenyewe!

Alafu angalia hapa chini (fuatilia namba); kama watu wanakosea hata majina kwenye shortlisting unadhani wataweza kupata watu sahihi.?? ...au wanafanana majina?!
[TABLE="width: 398"]
[TR]
[TD]18[/TD]
[TD]Anold J. Moshi[/TD]
[TD]M[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]19
[/TD]
[TD]Anold J.Moshi[/TD]
[TD]M[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]20[/TD]
[TD]Anold T.Moshi[/TD]
[TD]M
[/TD]
[/TR]
[/TABLE]

[TD="class: xl66, width: 49"]23[/TD]
[TD="class: xl67, width: 258"]Athumani O. Ally[/TD]
[TD="class: xl68, width: 91"]M[/TD]

[TD="class: xl66"]24[/TD]
[TD="class: xl67"]Athumani O. Ally[/TD]
[TD="class: xl68"]M[/TD]

[TD="class: xl66, width: 49"]115[/TD]
[TD="class: xl67, width: 258"]Gadson Mkanya[/TD]
[TD="class: xl68, width: 91"]M[/TD]

[TD="class: xl66"]116[/TD]
[TD="class: xl67"]Gadson Mkanya[/TD]
[TD="class: xl68"]M[/TD]

[TD="class: xl66, width: 49"]284[/TD]
[TD="class: xl67, width: 258"]Peter Balangwesa[/TD]
[TD="class: xl68, width: 91"]M[/TD]

[TD="class: xl66"]285[/TD]
[TD="class: xl67"]Peter Balangwesa[/TD]
[TD="class: xl68"]M[/TD]
!
 
Reactions: Paw
Vipi kuhusu nafasi ya Human resources officer na ile ya Administrative officer hawajaita!? dah! wanatuchanganya kweli.
 
Mbona wanatoa nusu nusu? Yaani kusubiri kwote huko hafu wanafnya hivi?
 
Duh aptitude test hizi jamani ni too much.. Ts psychological torture kwa kweli..

Mkuu wa kazi winky winky habari yako? Pole na majukumu ya kujenga Taifa. Najua unajituma sana ila kuna walio juu wanakukatisha tamaa. Naomba usife moyo endel...

Lengo la hii comment ni kukuomba maelezo kidogo kuhusu hiyo "amplitude test" uliosema hapo. Nipo kizani kidogo.

Wasalimie wote hapo nyumbani na majirani.

Wako mtiifu,

Huduma za Siri.
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…