Short course ya GIS and Remote Sensing

muuza ubuyu

JF-Expert Member
Nov 23, 2010
3,511
3,480
Habari waungwana.

Katika harakati zangu za kuboresha utendaji kazi wangu, nahitaji kupata maarifa ya GIS & RS, je ni wapi kwa sasa ninaweza kupata mafunzo ya muda mfupi (2 to 3 weeks) kuhusu GIS?

Nahitaji kuitumia katika issue zinazohusiana na kilimo, mazingira, misitu (natural resources) etc.

Natanguliza shukrani zangu.
 
Ardhi, Udsm na Udom nilishawasiliana nao lakini inaonyesha huwa wanafanya pindi wanapopata uhitaji mkubwa wa wateja, kwa sasa hawana hivyo hawajapanga na haijulikani watafanya lini japo wameahidi kunitaarifu pindi watakapokuwa tayari.
 
Depends on how much you want to invest. Mconsult tutor mmojawapo mzuri individually mpange nae program. Nilifanya hivyo kitambo kidogo

Tena hii itakuwa nzuri kwako kuliko kusubiri darasa liwe na wanafunzi 80. Concentration inakuwa ndogo kwa mwanafunzo mmojammoja
 
Asante sana kwa ushauri huo aisee. Ngoja nitacheki mtu anayeweza kuwa affordable.
 
Habari waungwana.

Katika harakati zangu za kuboresha utendaji kazi wangu, nahitaji kupata maarifa ya GIS & RS, je ni wapi kwa sasa ninaweza kupata mafunzo ya muda mfupi (2 to 3 weeks) kuhusu GIS?

Nahitaji kuitumia katika issue zinazohusiana na kilimo, mazingira, misitu (natural resources) etc.

Natanguliza shukrani zangu.
Kama unatafuta maarifa na sio cheti ingia hapa...

1. Youtube (free kabisa just ingia youtube then search "gis" au "remote sensing")

2. Udemy (10 usd/course... then search kama nilivyookuelekeza hapo juu).

3. Coursera (nimekosea jina ila uki google utawapata).

Kazi kwako.
 
Nilishawahi kuisoma pale UDSM haikuwa nzuri sana jaribu Ardhi University wanajitahidi.
 
Kama unatafuta maarifa na sio cheti ingia hapa...

1. Youtube (free kabisa just ingia youtube then search "gis" au "remote sensing")

2. Udemy (10 usd/course... then search kama nilivyookuelekeza hapo juu).

3. Coursera (nimekosea jina ila uki google utawapata).

Kazi kwako.
Asante sana kwa kunipatia alternative ambayo ina affordable cost. Kiufupi natafuta maarifa.
 
Kama unatafuta maarifa na sio cheti ingia hapa...

1. Youtube (free kabisa just ingia youtube then search "gis" au "remote sensing")

2. Udemy (10 usd/course... then search kama nilivyookuelekeza hapo juu).

3. Coursera (nimekosea jina ila uki google utawapata).

Kazi kwako.
Pia fuata ushauri wa huyu jamaa , in short YouTube imekuwa msaada mkubwa sana kwangu kwa softwares mbali mbali, mfano QGIS, R studio,SPSS AutoCAD, FLstudio na Cubase hakuna aliyewahi kunifundisha zaidi ya Youtube
 
Pia fuata ushauri wa huyu jamaa , in short YouTube imekuwa msaada mkubwa sana kwangu kwa softwares mbali mbali, mfano QGIS, AutoCAD, FLstudio na Cubase hakuna aliyewahi kunifundisha zaidi ya Youtube
Asante sana kiongozi.
 
Back
Top Bottom