Kwa nn baadhi ya wanawake
Wanaopelekwa shopping
Hupenda kuchagua expensive? Kama picha hapo inavyojieleza
View attachment 95504
He he he he, bora mwanamke achop your moni kuliko achop your nanii
Kwa nn baadhi ya wanawake
Wanaopelekwa shopping
Hupenda kuchagua expensive? Kama picha hapo inavyojieleza
View attachment 95504
kuchop balls nini?????
Siku hizi wana slice balls na kuchop stick:nod:
Hapo unamwacha akusanye mavitu...
akimaliza unatoka nduki
Akiwa na hela yake anakunywa Castle Lite ukimpa offer anakunywa Savannah
si kweli......huwa tunaangalia.....je utaweza kulipa bill.........? wanaume wa kulipa wanaonekana bwana.....sio blah blah nyingi.....story ndeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeefu.....kumbe hana kitu.........
Akiwa na hela yake anakunywa Castle Lite ukimpa offer anakunywa Savannah
Akiwa na hela yake anakunywa Castle Lite ukimpa offer anakunywa Savannah