Shopping app in Dar

ndugufred

Senior Member
Dec 30, 2011
127
225
1.Je unachanganywa sana na maeneo kama Kariakoo wakat unatafuta mahitaj yako ya kibiashara?

2.Je wewe ni mgeni jijini Dar es Salaam na ungependa kupata mahitaj yako bila kusumbua watu kwa kuwauliza?

3.Una mahitaj ambayo hujui wapi yanapatikana jijini Dar?

4.Je wewe ni mfnyabiashara ambaye ungependa kutambua wapi kuna fursa za kuwekeza,kwa kuangalia nini hakipo eneo gani?

Endapo jibu la swali mojawapo hapo juu ni ndio,na una simu ya android, na unaweza kusoma ramani basi itakuwa ni kosa la jinai kutokuwa na program ya Dar Maps kwenye simu yako. Program hii itakuchorea ramani na kukuonesha wapi pa kupata mahitaj yako yote, ikiwepo pamoja na kukuonesha njia ya kupita tokea ulipo. Utaipata kwa kuclick link hapa chini:

https://play.google.com/store/apps/details?id=com.sheldon.serious.darsearch
 

ndugufred

Senior Member
Dec 30, 2011
127
225
Kwa wengine unapolazimika kwenda kutafuta kitu sehemu kama Kkoo,au kwenda wizara flani Posta,huwa ji headache maana kujua inapatikana mtaa upi inahitaj uzoefu.Lakin haka ka app kanakuonesha mpk njia ya kupita kufika huko
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom