SOFTWARE Shop Software

detected

Member
Joined
Mar 17, 2017
Messages
97
Points
150

detected

Member
Joined Mar 17, 2017
97 150
Heshima kwema wakuu...

Leo, tunawaletea mfumo wa mauzo uliojaribiwa na kufanya vizuri sana kwa wateja wetu. Mfumo huu ni desktop application (Language iliyotumika ni c# na database ni SQLServer 2014).

Mfumo ni mwepesi sana kutumia na unatoa ripoti zote za muhimu.

Pia tunaongeza vitu mbalimbali kwenye mfumo kutokana na uhitaji wa mteja.

Bei ya Mfumo kwa kuweka kwenye computer moja ni Tsh 100,000/= tu na kwa computer zitakazoongezeka utachajiwa Tsh 50,000/=(Hakuna gharama ya ziada).

Tutakuhudumia popote ulipo.

Mawasiliano

0764615124 (calls and whatsapp)
 

Attachments:

Forum statistics

Threads 1,391,561
Members 528,424
Posts 34,084,410
Top