Shonza Na Mkakati Wa Kuiua CCM....

Shonza Na Mkakati Wa Kuiua CCM....

Status
Not open for further replies.

TAMKO

JF-Expert Member
Joined
Oct 11, 2011
Posts
1,090
Reaction score
763
Jana Jumatano, kulikuwa Na kikao kuanzaia saa Kumi alasiri hadi usiku sana kati ya wajumbe wanne vigogo wa CCM Ndani ya jengo hili la ofisi Za Mkoa Za CCM, Lumumba. Mbali Na mambo machache waliyozingumza Hoja kubwa iliyotawala Kwa Muda mrefu hadi Usiku sana ni Tishio la ujio wa Aliyekuwa Makam Mwenyekiti wa BAVICHA Taifa Juliana Shonza Ndani ya CCM.

Mjumbe aliyedadavua Hoja alisema Bidada huyo katumwa Na Chadema kukiangamiza Chama. Mjumbe alisema Kwa kujiamini Kwamba bidada huyo aliyelishwa yamini Na Chama alitumwa apenye Na Kuzitoa siri Za Chama. Msemaji alisema ile kukitukana CDM Kwa Hoja nyepesi ya kukopa fedha ni gia ili CCM IMWAMINI Na kumpatia nafasi nyeti kwa urahisi. Msemaji huyo alisema mishen yake inayofananishwa Na vita ya KIPPUR Kati ya mataifa ya Kiarabu juu ya Israel mwaka 1967 chini ya wenyekiti Wa Misri kipindi kile Anwar Sadat akiwa RAIS wa Misri ambapo mwanamke mmoja wa kiyahudi aliyekuwa ameolewa Na Mmisri ndiye aliyevujisha taarifa kwa jeshi la Israel iliyopelekea,Mataifa hayo yakapigwa mbaya hadi Leo Misri hathubutu kuzipanga Na Israel.

Msemaji aliendelea kudai Ndani ya CCM," Hata sisi wanne inawezekana CHADEMA Wakawa Na Mtu wao" (HAKUKOSEA).. Ndio Maana watu wa Chadema Ndani ya CCM wakampenyeza Bint yule Na kijana Yule hadi Mbele ya RAIS Na kupata nae wasaa ili CCM wengine tumwamini kirahisi kitu ambacho hadi Leo RAIS anahoji nani aliyewasogeza vijana wale hadi karibu nae?

Mjumbe akaendelea kuweka wazi Yule mvulana(akimanisha mwampamba) ni Zuzu Yeye hajui lolote, alifukuzwa Kama ushahidi tu ila inshu yote anayo Bint. Akasema ili kugundua anachosema watazame vikao vyao, Mara zote Bint ataalikwa Na atatoa maneno ya Vitisho kwamba anaijua CDM Na CCM ili apate uungwaji kirahisi..

Wajumbe walichangia Kwa jazba Na ukali Na kikao hakikuisha vizuri kwama kilivyoanza. Wajumbe wengi walionekana kukereka Na jinsi RAIS alivyokubali kuwa nao karibu kwamba wao miaka yote hawajawaji Hata kumsalimia. Wajumbe walionyesha ghadhabu Na wivu binafsi Na kuacha kuchangia hoja hiyo hadi kikao kilipovunjika kila mmoja akiondoka akisonya..
 
ukiangalia saana SHOZA JULIANA atawachanganya saana CCM mwishowe atarudi Chama kubwa CHADEMA
 
mnampa promo tuu Hana lolote huyo binti.
Tujiulize zaidi what exeptional does this little lady has? nothing, its only media gives her political millage.
Mwanasiasa gani anayemshambulia mtu mmoja (dr.slaa) tena kwa mambo binafsi ambayo sio muhimu kwa watanzania.kwangu mimi hizo nisiasa za hovyo kabisa,
 
Watazunguka weee,watarukaruka ovyo,watatapika maneno machafu yote lakini mioyoni wanaikubali CHADEMA na asiyeikubali anaiogopa hata akienda msalani anahisi CHADEMA inamfuatilia usaliti wake.
 
ukiangalia saana SHOZA JULIANA atawachanganya saana CCM mwishowe atarudi Chama kubwa CHADEMA
Kishapoteza sifa za kuwa CDM. Atakwenda NCCR, hofu ya vijana wa CCM si uchadema wa Shonza. Ni posho anazokatiwa na Mwigulu wakati wao wakiachwa na njaa kali.
 
Jana Jumatano, kulikuwa Na kikao kuanzaia saa Kumi alasiri hadi usiku sana kati ya wajumbe wanne vigogo wa CCM Ndani ya jengo hili la ofisi Za Mkoa Za CCM, Lumumba. Mbali Na mambo machache waliyozingumza Hoja kubwa iliyotawala Kwa Muda mrefu hadi Usiku sana ni Tishio la ujio wa Aliyekuwa Makam Mwenyekiti wa BAVICHA Taifa Juliana Shonza Ndani ya CCM.

Mjumbe aliyedadavua Hoja alisema Bidada huyo katumwa Na Chadema kukiangamiza Chama. Mjumbe alisema Kwa kujiamini Kwamba bidada huyo aliyelishwa yamini Na Chama alitumwa apenye Na Kuzitoa siri Za Chama. Msemaji alisema ile kukitukana CDM Kwa Hoja nyepesi ya kukopa fedha ni gia ili CCM IMWAMINI Na kumpatia nafasi nyeti kwa urahisi. Msemaji huyo alisema mishen yake inayofananishwa Na vita ya KIPPUR Kati ya mataifa ya Kiarabu juu ya Israel mwaka 1967 chini ya wenyekiti Wa Misri kipindi kile Anwar Sadat akiwa RAIS wa Misri ambapo mwanamke mmoja wa kiyahudi aliyekuwa ameolewa Na Mmisri ndiye aliyevujisha taarifa kwa jeshi la Israel iliyopelekea,Mataifa hayo yakapigwa mbaya hadi Leo Misri hathubutu kuzipanga Na Israel.

Msemaji aliendelea kudai Ndani ya CCM," Hata sisi wanne inawezekana CHADEMA Wakawa Na Mtu wao" (HAKUKOSEA).. Ndio Maana watu wa Chadema Ndani ya CCM wakampenyeza Bint yule Na kijana Yule hadi Mbele ya RAIS Na kupata nae wasaa ili CCM wengine tumwamini kirahisi kitu ambacho hadi Leo RAIS anahoji nani aliyewasogeza vijana wale hadi karibu nae?

Mjumbe akaendelea kuweka wazi Yule mvulana(akimanisha mwampamba) ni Zuzu Yeye hajui lolote, alifukuzwa Kama ushahidi tu ila inshu yote anayo Bint. Akasema ili kugundua anachosema watazame vikao vyao, Mara zote Bint ataalikwa Na atatoa maneno ya Vitisho kwamba anaijua CDM Na CCM ili apate uungwaji kirahisi..

Wajumbe walichangia Kwa jazba Na ukali Na kikao hakikuisha vizuri kwama kilivyoanza. Wajumbe wengi walionekana kukereka Na jinsi RAIS alivyokubali kuwa nao karibu kwamba wao miaka yote hawajawaji Hata kumsalimia. Wajumbe walionyesha ghadhabu Na wivu binafsi Na kuacha kuchangia hoja hiyo hadi kikao kilipovunjika kila mmoja akiondoka akisonya..

modes ungeni hii na ile ya VUTA-NKUVUTE

VUTA-NKUVUTE
https://www.jamiiforums.com/member.php?u=60503

multiple id.....unapima joto na kutaka uongezewe dau na ccm
 
Kuiua CCM itakuwa sio sababu ya kutumwa bali tabia zake ambazo sio za busara zitapelekea watu kugombana na kukorofishana.., mtu kama huyu / mwenye tabia kama hizi sio mwiba tu kwenye taasisi yoyote bali jamii kwa ujumla.. (umimi umemzidi)
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom