Isaac Mnyagi
Senior Member
- Dec 25, 2012
- 124
- 136
sasa wewe unasema wala hata si mwana chadema licha ya kwamba wewe si kiongozi wa wanachadema wa mbeya lakini unawasemea wana chadema wa mbeya.sasa wewe unawasemea kama mwananchi mwenye usongo au?
Mimi siyo mwanachama wa CHADEMA lakini ndicho chama mbadala angalau chenye muelekeo na ninasikia hasira sana na watu ambao wanadhani kuwa wanataka kutenda mambo ya demokrasia kumbe ni wahuni na wametumwa na chama tawala kuharibu harakati za chadema na kurudisha nyuma maendeleo ya wapenda demokrasia.
Leo nimeamua kuja na ID yangu halisi ili kuweka mambo sawa kutokana na uhuni wa huyu anayejiita kuwa bado ni kiongozi wa CDM. smbaye amejitahidi kuandika upuuzi wake humu kwa kurasa za kutosha na kuunda hoja za kipuuzi kabisa kwa madai ya kuwa viongozi waliofukuuzwa uanachama ni wale wanaotoka MBEYA
NAOMBA KUWAJULISHA WANAOPENDA DEMOKRASIA KUWA MIMI NATOKA MBEYA WILAYA YA MBOZI VWAWA ENEO LA IPANZYA NINATHAMINI MABADILIKO YA KWELI PAMOJA NA WAPENDA MAENDELEO WOTE WENYE KUITAKIA HERI NCHI YETU KWAMBA HUYU BINTI HANA ADABU NA DESTURI HALISI ZA WATU WA MBEYA WALA HAJALELEWA NA KUPATA MAKUZI HALISI YA WATU WA MBEYA bali huyu ni mamluki kama wenzake ambao naweza kuwaita ni makahaba wa demokrasia ambao wanatumiwa na wachache wenye uchu wa madaraka kuleta mgawanyo wa kitaifa kwa kuleta mawazo ya udini, ukanda, na ukabila ndani ya chadema ili kupitisha ajenda zao chafu kwa masilahi yao binafsi.
Napenda kuwaomba wana Mbeya wote popote pale mlipo tusimsikilize mpotoshaji huyu anayetaka kutugawanya maana inajulikana dhahiri kuwa wana Mbeya wana msimamo dhihir na wenye kueleweka kwenye suala la Demokrasia mahali popote pale na zaidi sana WANA NIDHAMU YA KUTOSHA KWA WANAO WAZIDI KI UMRI NA HATA KIMADARAKA hivyo nakusahauri uache biaashara uliyotumwa na mamluki ya kuwavurugia chadema dira yao ya mabadiliko ya demokrasia nchini.
Mkuu mpe huyo mtoto vidonge vyake ameze ateme shauri yake, amaisha bainika tangu mwanzo yeye ni mamluki wa watu fulani wasioitakia maendeleo nchi yetu ya TZ, ndaga fijo na loli!!!Mimi siyo mwanachama wa CHADEMA lakini ndicho chama mbadala angalau chenye muelekeo na ninasikia hasira sana na watu ambao wanadhani kuwa wanataka kutenda mambo ya demokrasia kumbe ni wahuni na wametumwa na chama tawala kuharibu harakati za chadema na kurudisha nyuma maendeleo ya wapenda demokrasia.
Leo nimeamua kuja na ID yangu halisi ili kuweka mambo sawa kutokana na uhuni wa huyu anayejiita kuwa bado ni kiongozi wa CDM. smbaye amejitahidi kuandika upuuzi wake humu kwa kurasa za kutosha na kuunda hoja za kipuuzi kabisa kwa madai ya kuwa viongozi waliofukuuzwa uanachama ni wale wanaotoka MBEYA
NAOMBA KUWAJULISHA WANAOPENDA DEMOKRASIA KUWA MIMI NATOKA MBEYA WILAYA YA MBOZI VWAWA ENEO LA IPANZYA NINATHAMINI MABADILIKO YA KWELI PAMOJA NA WAPENDA MAENDELEO WOTE WENYE KUITAKIA HERI NCHI YETU KWAMBA HUYU BINTI HANA ADABU NA DESTURI HALISI ZA WATU WA MBEYA WALA HAJALELEWA NA KUPATA MAKUZI HALISI YA WATU WA MBEYA bali huyu ni mamluki kama wenzake ambao naweza kuwaita ni makahaba wa demokrasia ambao wanatumiwa na wachache wenye uchu wa madaraka kuleta mgawanyo wa kitaifa kwa kuleta mawazo ya udini, ukanda, na ukabila ndani ya chadema ili kupitisha ajenda zao chafu kwa masilahi yao binafsi.
Napenda kuwaomba wana Mbeya wote popote pale mlipo tusimsikilize mpotoshaji huyu anayetaka kutugawanya maana inajulikana dhahiri kuwa wana Mbeya wana msimamo dhihir na wenye kueleweka kwenye suala la Demokrasia mahali popote pale na zaidi sana WANA NIDHAMU YA KUTOSHA KWA WANAO WAZIDI KI UMRI NA HATA KIMADARAKA hivyo nakusahauri uache biaashara uliyotumwa na mamluki ya kuwavurugia chadema dira yao ya mabadiliko ya demokrasia nchini.
sasa wewe unasema wala hata si mwana chadema licha ya kwamba wewe si kiongozi wa wanachadema wa mbeya lakini unawasemea wana chadema wa mbeya.sasa wewe unawasemea kama mwananchi mwenye usongo au?
Kwa adabu hiyo hiyo wanayojulikana wana Mbeya hebu tetea mikopo minono wanayolipana makao makuu ya CDM na mishahara minono ambayo naamini huko Mbeya haifiki.Mimi siyo mwanachama wa CHADEMA lakini ndicho chama mbadala angalau chenye muelekeo na ninasikia hasira sana na watu ambao wanadhani kuwa wanataka kutenda mambo ya demokrasia kumbe ni wahuni na wametumwa na chama tawala kuharibu harakati za chadema na kurudisha nyuma maendeleo ya wapenda demokrasia.
Leo nimeamua kuja na ID yangu halisi ili kuweka mambo sawa kutokana na uhuni wa huyu anayejiita kuwa bado ni kiongozi wa CDM. smbaye amejitahidi kuandika upuuzi wake humu kwa kurasa za kutosha na kuunda hoja za kipuuzi kabisa kwa madai ya kuwa viongozi waliofukuuzwa uanachama ni wale wanaotoka MBEYA
NAOMBA KUWAJULISHA WANAOPENDA DEMOKRASIA KUWA MIMI NATOKA MBEYA WILAYA YA MBOZI VWAWA ENEO LA IPANZYA NINATHAMINI MABADILIKO YA KWELI PAMOJA NA WAPENDA MAENDELEO WOTE WENYE KUITAKIA HERI NCHI YETU KWAMBA HUYU BINTI HANA ADABU NA DESTURI HALISI ZA WATU WA MBEYA WALA HAJALELEWA NA KUPATA MAKUZI HALISI YA WATU WA MBEYA bali huyu ni mamluki kama wenzake ambao naweza kuwaita ni makahaba wa demokrasia ambao wanatumiwa na wachache wenye uchu wa madaraka kuleta mgawanyo wa kitaifa kwa kuleta mawazo ya udini, ukanda, na ukabila ndani ya chadema ili kupitisha ajenda zao chafu kwa masilahi yao binafsi.
Napenda kuwaomba wana Mbeya wote popote pale mlipo tusimsikilize mpotoshaji huyu anayetaka kutugawanya maana inajulikana dhahiri kuwa wana Mbeya wana msimamo dhihir na wenye kueleweka kwenye suala la Demokrasia mahali popote pale na zaidi sana WANA NIDHAMU YA KUTOSHA KWA WANAO WAZIDI KI UMRI NA HATA KIMADARAKA hivyo nakusahauri uache biaashara uliyotumwa na mamluki ya kuwavurugia chadema dira yao ya mabadiliko ya demokrasia nchini.
Mi nafikiri huyu dada anashindwa kuelewa kuwa adui mkubwa wa wama Mbeya ni CCM. Tukumbuke matukio yafuatayo
1. Maradhi yanayomsibu Mwandosya
2. Mbinu mbalimbali zilizotumika kutaka kumuua Mwakyembe
3. Mauaji ya Mwangosi.
4. Wao kama vijana kutoka Mbeya pia wamekumbwa na janga kwani CCM imeharibu mustakabari wao wa kisiasa na hii ni kutokana na CCM kutokuwa na mapenzi na wana Mbeya.
Kwa adabu hiyo hiyo wanayojulikana wana Mbeya hebu tetea mikopo minono wanayolipana makao makuu ya CDM na mishahara minono ambayo naamini huko Mbeya haifiki.
Wana Mbeya hatujulikani kwa unafiki.
Mwampashi umedandia treni ya TAZARA kwa mbele.
Nasikitika kua zile tuhuma zake za kutumwa ndio zilizompeleka kaburini kisiasa! Hivyo natangaza rasmi kuwa huu ndio wakati Wa mwisho kusikika!
Mimi nipo Mbeya, nawajua wanambeya wenzangu tunataka nini!
Great thinker wewe, kweli kazi ipo kweli kweli mwaka huu, tutaona mengi tusubiri!!!Mbona unakosa uelewa mkuu.
Hiyo ilikuwa kazi ya wahanga walioenguliwa RICHMOND na wanaogombea urais, na hata leo wapo kwa majina.
Kwa sakata la Mwangosi hata wana CHADEMA wanakiri "set up" ya CHADEMA alimoingia marehemu kichwa kichwa kwa bahati mbaya, the rest iitekelezwa na polisi.
Ni vyema tukajali ukweli ili kupata ufumbuzi makini.