Lupweko
JF-Expert Member
- Mar 26, 2009
- 25,149
- 27,293
Club yake yaitwa nani ?Daraja la ngapi ?
Kabla haujaanza kuuliza hayo, ngoja nikukumbushe ujinga ulioandika,
...Kwanza alikurupuka maana hatoki within EU .Sheria itamfanya alipwe euro 450,000 kwa mwaka kitu ambacho hawawezi kukubali ...
Halafu sasa mbona unataka kubadili kimya kimya maudhui ya mada uliyoanzisha mwenyewe!? Omba radhi vinginevyo utaendelea kuonekana mjinga humu JF. Kuna watu wameshatilia shaka credibility yako, na sio lazima kuleta stori (hasa za airport), wakati mwingine kukaa kimya kunaficha upumbavu wa mtu!