Shomar Kapombe si lolote ,FC Twente

Shomar Kapombe si lolote ,FC Twente

Lunyungu

JF-Expert Member
Joined
Aug 7, 2006
Posts
8,873
Reaction score
1,925
Wiki chache zilizo pita tambo toka TFF na waandishi uchwara wa michezo walipamba sana kuondoka kwa huyu dogo kwenda Nchni Uholanzi.Habari toka FC Twente zinasema huyu Shomari hana nafasi kwao na kiwango na wameshindwa hata kumpa nafasi ya kujaribu mazoezi sasa ana waya waya nchini Holland anatafuta timu .Kwanza alikurupuka maana hatoki within EU .Sheria itamfanya alipwe euro 450,000 kwa mwaka kitu ambacho hawawezi kukubali .Hivyo mbwe mbwe zote na labda kutokuelewa kwa waandishi wa michezo Tanzania na TFF ndiyo mwisho wake hapo Kapombe hana nafasi FC Twente .
 
Sikaenda kujaribu......kwani uliambiwa ni LAZIMA afanikiwe.....acha uvivu wa kufikiri.....
 
Wiki chache zilizo pita tambo toka TFF na waandishi uchwara wa michezo walipamba sana kuondoka kwa huyu dogo kwenda Nchni Uholanzi.Habari toka FC Twente zinasema huyu Shomari hana nafasi kwao na kiwango na wameshindwa hata kumpa nafasi ya kujaribu mazoezi sasa ana waya waya nchini Holland anatafuta timu .Kwanza alikurupuka maana hatoki within EU .Sheria itamfanya alipwe euro 450,000 kwa mwaka kitu ambacho hawawezi kukubali .Hivyo mbwe mbwe zote na labda kutokuelewa kwa waandishi wa michezo Tanzania na TFF ndiyo mwisho wake hapo Kapombe hana nafasi FC Twente .
Lunyungu ,
wacha porojo njoo hapa upate majibu https://www.jamiiforums.com/sports/...e-wakala-wake-na-maendeleo-7.html#post7048920

dfk-agent Ndugu uanweza kumsaidia huyu jamaa, maana MIAFRIKA ndivyo tulivyo.
 
Last edited by a moderator:
Wabongo tuna majungu jamani, aliyeenda kufanya majaribio ni Kapombe wewe kinakuuma nini hata akichezxa mchangani ni yeye na maisha yake, ushawahi hata kumnunulia panadol anapoumwa? Mwache atafute maisha yake!
 
Kapombe usikate/katishwe tamaa. H
18870145.jpg
ata huyu jamaa mara ya kwanza alikataliwa na Olympique de Marseilles, lakini aliendelea 'kuwayawaya' Ufaransa na kufanikiwa kuchezea Chamois Noirt, Montpellier na Lille. Hatimaye hao hao Olympique Marsielle walimnunua kwa bei mbaya na kuwawezesha kushinda European Cup!
 
Kijana Kapombe anafanyia mazoezi wapi ? Shida siyo majungu ni taarifa kutokuwa wazi na publicity za kijinga .TZ watu walijua anaenda FC Twente sasa huku big u turn ndiyo maana tunataka kujua uko wapi ?
 
Wewe ulimsikia nani akisema kwamba anaenda FC Twente?
 
Kijana Kapombe anafanyia mazoezi wapi ? Shida siyo majungu ni taarifa kutokuwa wazi na publicity za kijinga .TZ watu walijua anaenda FC Twente sasa huku big u turn ndiyo maana tunataka kujua uko wapi ?

He ! Lugha ya kuuliza huijuwi wewe?
 
Kijana Kapombe anafanyia mazoezi wapi ? Shida siyo majungu ni taarifa kutokuwa wazi na publicity za kijinga .TZ watu walijua anaenda FC Twente sasa huku big u turn ndiyo maana tunataka kujua uko wapi ?

acha kutafutia watu ban za lazima basi. Huo wako Mkapa anauita wivu wa kike. Halafu eti tunamlaumu Cameroon ku-propose u-gay Tz wakati dalili zote umezionesha
 
Kijana Kapombe anafanyia mazoezi wapi ? Shida siyo majungu ni taarifa kutokuwa wazi na publicity za kijinga .TZ watu walijua anaenda FC Twente sasa huku big u turn ndiyo maana tunataka kujua uko wapi ?
Ukiitwa -------- utaenda mahakamani?
 
Back
Top Bottom