Shomar Kapombe si lolote ,FC Twente

Shomar Kapombe si lolote ,FC Twente

Kijana Kapombe anafanyia mazoezi wapi ? Shida siyo majungu ni taarifa kutokuwa wazi na publicity za kijinga .TZ watu walijua anaenda FC Twente sasa huku big u turn ndiyo maana tunataka kujua uko wapi ?

Heshima kwako mkuu Lunyungu ,

Kamanda lugha uliyotumia ni ya kumkatisha tamaa Kapombe, agent wake kaja public kuweka sawa mambo ya huyu mchezaji tuache tabia za akina Shafii Dauda kwa kutafuta kukosoa tuuuuu hadi ukosoaji unakuwa na makosa!!!!!!
 
Last edited by a moderator:
Hahahahaha akili za mashabiki wa rangi za matembere utawajua tu. Tangu uzaliwe hujawahi kusikia mchezaji wa timu yao either anatakiwa au kaenda majaribio. Kwenda kapombe roho zinawauma.
 
Wapumbavuuu kila kona wapo, hata White House ya USA kuna wapuuzi kama wewe,

Kwenye siasa huwa nakuamini kidogo, lakini daaah una wivu wa kike haijapata kutokea,

Wakala wake amekuja hapa jukwaani na ametupa maelezo mazuri sana juu ya Kijana wetu,
 
Mods ondoeni uzi huu wa kipuuzi, unadharirisha na kukatisha tamaa vijana wetu ambao kimsingi wanahitaji kupewa moyo,

Ama unganisheni uzi huu na uzi ule wa maswali na Majibu ulionzishwa na wakala wa Shomari Kapombe
 
Kijana Kapombe anafanyia mazoezi wapi ? Shida siyo majungu ni taarifa kutokuwa wazi na publicity za kijinga .TZ watu walijua anaenda FC Twente sasa huku big u turn ndiyo maana tunataka kujua uko wapi ?
Lunyungu naona hauna update zozote, lakini unataka kujifanya unajua mambo mengi, hasa ya airport. Hebu tulia upitie uzi huu halafu ujifunze lugha za kuandika
Naomba pia niwaambie kwamba sijawahi kusema kijana anaenda kucheza FC Twente wala sikutaja timu yoyote ile wakati nawaomba Simba ruhusa wala Taifa Stars. Lakini kijana kaonekana na mascout wamemuona, na nimehakikisha anaonekana sababu najua ninachofanya. Sina haja ya kuongea na gazeti lolote sababu sitaki hiyo publicity na kwasabu mimi ni mtendaji na si muongeaji.
 
Hahahahaha akili za mashabiki wa rangi za matembere utawajua tu. Tangu uzaliwe hujawahi kusikia mchezaji wa timu yao either anatakiwa au kaenda majaribio. Kwenda kapombe roho zinawauma.

Unamfahamu Nonda Shaaban Papii?
 
Kijana Kapombe anafanyia mazoezi wapi ? Shida siyo majungu ni taarifa kutokuwa wazi na publicity za kijinga .TZ watu walijua anaenda FC Twente sasa huku big u turn ndiyo maana tunataka kujua uko wapi ?

Swali lako zuri sana sheikh na linahitaji majibu japo wakurupukaji wanataka kupiga sarakasi na walikimbie...
 
Wiki chache zilizo pita tambo toka TFF na waandishi uchwara wa michezo walipamba sana kuondoka kwa huyu dogo kwenda Nchni Uholanzi.Habari toka FC Twente zinasema huyu Shomari hana nafasi kwao na kiwango na wameshindwa hata kumpa nafasi ya kujaribu mazoezi sasa ana waya waya nchini Holland anatafuta timu .Kwanza alikurupuka maana hatoki within EU .Sheria itamfanya alipwe euro 450,000 kwa mwaka kitu ambacho hawawezi kukubali .Hivyo mbwe mbwe zote na labda kutokuelewa kwa waandishi wa michezo Tanzania na TFF ndiyo mwisho wake hapo Kapombe hana nafasi FC Twente .

BS; Does that make you happy! sick mind!
 
inaonekana roho yako imepinda kama kona za wami
 
Mkuu kwa hili la Kapombe omba radhi na ukiri umekosea coz kijana ameenda kufanya majaribu kwa lengo la kucheza nje ya nchi na sio lazima iwe Fc Twente ni timu yeyote atakayopata nafasi . Umetoa kauli mbaya tena ya kukatisha tamaa kwa Kapombe na vijana wote wenye ndoto ya kucheza soka ya kimataifa
 
Wiki chache zilizo pita tambo toka TFF na waandishi uchwara wa michezo walipamba sana kuondoka kwa huyu dogo kwenda Nchni Uholanzi.Habari toka FC Twente zinasema huyu Shomari hana nafasi kwao na kiwango na wameshindwa hata kumpa nafasi ya kujaribu mazoezi sasa ana waya waya nchini Holland anatafuta timu .Kwanza alikurupuka maana hatoki within EU .Sheria itamfanya alipwe euro 450,000 kwa mwaka kitu ambacho hawawezi kukubali .Hivyo mbwe mbwe zote na labda kutokuelewa kwa waandishi wa michezo Tanzania na TFF ndiyo mwisho wake hapo Kapombe hana nafasi FC Twente .

Umeandika kinafki sana au we Yeboyebo ambao hamna desturi za kuuza wachezaji ulaya? Kuna thread ya wakala wake kazungumza vizuri sana na kufafanua kila kitu na picha kaweka.
 
Kijana Kapombe anafanyia mazoezi wapi ? Shida siyo majungu ni taarifa kutokuwa wazi na publicity za kijinga .TZ watu walijua anaenda FC Twente sasa huku big u turn ndiyo maana tunataka kujua uko wapi ?

Ungeuliza sio kukurupuka na kuandika uzi wa kimbea namna hii. Taarifa mbona zipo wazi au we mpaka umsikilize mnafki mwenzio Dauda au we kuingia JF mpaka uende Internet Cafe?
 
Wapumbavuuu kila kona wapo, hata White House ya USA kuna wapuuzi kama wewe,

Kwenye siasa huwa nakuamini kidogo, lakini daaah una wivu wa kike haijapata kutokea,

Wakala wake amekuja hapa jukwaani na ametupa maelezo mazuri sana juu ya Kijana wetu,

YK,
Lugha uliyotumia si ya kiungwana kwa mtu kwa kariba yako, kwenye blog watu hubishana na kushindana kwa hoja, hivi kupishana mawazo na ni kuwa --------?

Lunyungu kaja na hoja kwa kupitia mtandao wake, kwa nini tusimuhoji atupe anayoyajua zaidi? wewe si juzi ulituma tweeter ukitangaza Ponda kafariki bila hata kuwa na uhakika, sasa na wewe ulitakiwa tukwite --------?

Kwenye jukwa la siasa unamwamini kwa sababu yuko upande unataka kusikia, duuu hii sasa si udikteta mwingine yaani aliye tofauti na unachoaminio basi ni -------- ha ha ha ha

Tuwe wavumilivu na kusikia upande mwingine.
 
Wapumbavuuu kila kona wapo, hata White House ya USA kuna wapuuzi kama wewe,

Kwenye siasa huwa nakuamini kidogo, lakini daaah una wivu wa kike haijapata kutokea,

Wakala wake amekuja hapa jukwaani na ametupa maelezo mazuri sana juu ya Kijana wetu,

Yeriko umenitukana bure na heshima yangu kwako inashuka kuanzia sasa .Mkuu mimi si mtu wa kukurupuka na mwisho wa siku mtaona kijana Kapombe anapoteza dira .Hao wanao jiita ma agent hawana lolote .Tunawajua vyema na maisha yao huku Ulaya .Nakuhakikishia matusi na kejeli zenu mwisho mtaona aibu .Kwa kuanzia tu namuomba Kadito aje asee kachezea tmu gani hapa ulaya yeye mwenyewe Holland na UK then ili nionekane wa hovyo ajibu kwa nini mwanzoni kijaa alitajwa kwenda FCTwente na sasa imekuwa kimya kimya na hata mwisho timu imeamua kuandia habari hizo katika website yake juu ya uvumi huo .Nangojea
 
Lunyungu naona hauna update zozote, lakini unataka kujifanya unajua mambo mengi, hasa ya airport. Hebu tulia upitie uzi huu halafu ujifunze lugha za kuandika

Jabulani laumu magazeti yenu na Radio zenu kipindi cha Michezo .I listened to the Kapombe News na walisema FC Twente .Hivi nyie mmesha wahi kusikia mtu katoka Nigeria kaenda Uk kutanga tanga ili kutafuta timu ? Ma agent kwa kawaida wanakuwa very specific na si hii ya kumpotezea muda Kapombe mwisho atarudi Tanzania akiwa kafaidi kufikaUlaya pekee na malengo yakeyamepotea .Muda ni mali kwanza uelewe kwamba Kapombe he is not from EU hilo kwanza linaleta utata mkubwa .Nyie kelele tu za kishabiki.Hata Agent tueleze hata timu ya Mchangani ni ipi anachezea ? Kumbuka ukisha isema itapatikana tu na tuta ujua ukweli .We are all wishing him well bwana Kapombe lakini kuweni makini na ubabaishaji huu na kupotea muda na mwisho twisting zina anza .Hapa si habari za airport kaka hata FC Twente last week walilazimia kwenda Public kumkana Kapombe .
 
Unamfahamu Nonda Shaaban Papii?
Nonda alienda Ulaya akitokea timu ya Vaal Profession ya Afrika Kusini, wala sio kutokea Yanga. Hapa kuna swali kwamba kuna mchezaji gani ametokea Yanga kwenda kucheza Ulaya? (Nonda alitoka Yanga akaenda Sauzi)
 
Mkuu kweli la 7 ulifeli kihalali kabisa...
Nimeuliza unamfahamu Nonda Shaaban Papii?
Matokeo yake unashusha maelezo meengi ambayo kwenye mwili wa Binadamu yanapatikana kwenye utumbo mpana.
 
Dogo wanampotezea muda wake tu.Kama anafani ya kupika vitumbua bora afanye ndo inaweza ikamtoa manake huko hawavijui na sio mpira.Samahani kwa kusema ukweli.
 
Back
Top Bottom