Ngongoseke
JF-Expert Member
- Jan 1, 2012
- 3,202
- 1,464
Mtoa Uzi hata kama una hoja ila Uzi wako umeuleta kishabiki sana,na kwa lugha isiofaa kwa kapombe,
Wiki chache zilizo pita tambo toka TFF na waandishi uchwara wa michezo walipamba sana kuondoka kwa huyu dogo kwenda Nchni Uholanzi.Habari toka FC Twente zinasema huyu Shomari hana nafasi kwao na kiwango na wameshindwa hata kumpa nafasi ya kujaribu mazoezi .
Kijana Kapombe anafanyia mazoezi wapi ? Shida siyo majungu ni taarifa kutokuwa wazi na publicity za kijinga .TZ watu walijua anaenda FC Twente sasa huku big u turn ndiyo maana tunataka kujua uko wapi ?
cc: Lunyungu na wapuuzi wote![]()
Hii picha Kapombe yuko na timu gani ? Picha tu kupoga kiwanjani siyo issue .Badala ya kutukana wewe weka ushahidi hapa kwamba sasa Kapombe yuko Ubelgiji au Ufaransa na timu fulani ya daraja fulani .Picha kupiga is not an issue hapa Ulaya ni summer au kuvaa guo na kupiga katika park summer is also not an issue come out tueleweshe tujue .

Club yake yaitwa nani ?Daraja la ngapi ?
inaitwa mgambo shooting iko ligi ya madongo kuinama..idiotClub yake yaitwa nani ?Daraja la ngapi ?
Ki-sokaHapo wanatumia lugha gani ati???