Huyo mama si mtoto wake, yeye ni mfanyakazi tu wa ndani (Yaya).hahahahahaa.. hili toto nouma, hata haliliii.., yaan hapa mama anajifanya kauzu but mtoto ndo nunda mwenyewe..
Inasikitisha the way mama anavyomuosha mtoto, but inafurahisha mtoto anavyopangua mashuti ya huyo mama..!!
That is equivalent to waterboarding. Huyu mtoto atakuwa amezoea yaani ni kama wazamiaji wa pweza vile, ukiifanya kazi ile kwa muda mrefu unazoea na kuona ya kawaida. Cha muhimu hapa ni kujenga mahusiano mazuri sana na wafanyakazi wa ndani hasa upokuwa na mtoto. Unajua kumuachia mtu mtoto wako amuangalie inahitaji moyo hasa akiwa si ndugu. Ndiyo maana baadhi ya nchi wana sheria zinazokataza mtu asiye ndugu kumuangalia mtoto bila ya kuthibitishwa tabia yako ya jinai huko nyuma (Enhanced disclosure).

Aaah Kaka, kwani ujawahi kuona au kusikia familia nyingine baba na mama wakigombana, basi kisilani kina hamia kwa watoto...! Watoto wanaweza kuchapwa na mama yao bila ya sababu yoyote ile.You're right lakini kutokuwa na mahusiano mazuri na wafanyakazi wa ndani haina maana kuwa watoto ndio wawe victims. Bahati mbaya, this is exactly what happens.