Shoking video: Maid Bathing A Baby (it's Brutal)

X-PASTER

JF-Expert Member
Feb 12, 2007
11,610
1,810
Shoking video: Maid Bathing A Baby (it's Brutal)

You've been warned. If you can't withstand watching graphic videos, please do not watch this one. What you are about to see could be very disturbing and devastating to anyone who has a caring heart, especially to the helpless innocent children, who are at the mercy of their care givers.

After seeing the video, or if you want to jump ahead to the topic, please visit this blog (click here apregnantpause.net) to learn a tip or two about how to live with a maid, probably following and trying the tips given by those who have gotten a maid may help you understand how to treat a maid.

There is no guarantee that all the tips given or even some, will work in changing your maid, but trying is better than not doing anything.
 
Last edited by a moderator:
Gosh.....
Utadhani hako katoto kamemfanya nini sijui.Huyo dada ana roho mbaya na yenye chuki sana.I feel sorry for the kid...ila afadhali sasa ataondokana na mamyanyaso ya huyo mwanamke.

Na nyie wazazi wa mjini msiojua watoto wenu wanaogeshwa/lishwa vipi kwasababu muda wote mko bize wachunguzenu wadada wenu wa kazi msije mkakuta siku moja mtoto kazamishwa kwenye beseni lake mwenyewe la kuogea.
 
hahahahahaa.. hili toto nouma, hata haliliii.., yaan hapa mama anajifanya kauzu but mtoto ndo nunda mwenyewe..
Inasikitisha the way mama anavyomuosha mtoto, but inafurahisha mtoto anavyopangua mashuti ya huyo mama..!!
 
That is equivalent to waterboarding. Huyu mtoto atakuwa amezoea yaani ni kama wazamiaji wa pweza vile, ukiifanya kazi ile kwa muda mrefu unazoea na kuona ya kawaida. Cha muhimu hapa ni kujenga mahusiano mazuri sana na wafanyakazi wa ndani hasa upokuwa na mtoto. Unajua kumuachia mtu mtoto wako amuangalie inahitaji moyo hasa akiwa si ndugu. Ndiyo maana baadhi ya nchi wana sheria zinazokataza mtu asiye ndugu kumuangalia mtoto bila ya kuthibitishwa tabia yako ya jinai huko nyuma (Enhanced disclosure).
 
Duh! huyu dogo nimemkubali! sijui kameshakuwa sugu masikini? maana kameweza kustahimili fujo zote kalizofanyiwa.Kwa staili hii inabidi tuwe makini sana na wafanyakazi maana hapa ndipo mtoto unapojifunza unyang'au.
 
hahahahahaa.. hili toto nouma, hata haliliii.., yaan hapa mama anajifanya kauzu but mtoto ndo nunda mwenyewe..
Inasikitisha the way mama anavyomuosha mtoto, but inafurahisha mtoto anavyopangua mashuti ya huyo mama..!!
Huyo mama si mtoto wake, yeye ni mfanyakazi tu wa ndani (Yaya).
 
Haya mambo yapo sana jamani!! mimi nina jirani yangu ... nakuwa namuona maid wake anavyo mistreat mtoto roho inaniuma sana.Niliwahi kumwambia jirani kiutu uzima lakini ikawa kama vile hataki kusikia.... sikujua hata nifanye nini.
 
That is equivalent to waterboarding. Huyu mtoto atakuwa amezoea yaani ni kama wazamiaji wa pweza vile, ukiifanya kazi ile kwa muda mrefu unazoea na kuona ya kawaida. Cha muhimu hapa ni kujenga mahusiano mazuri sana na wafanyakazi wa ndani hasa upokuwa na mtoto. Unajua kumuachia mtu mtoto wako amuangalie inahitaji moyo hasa akiwa si ndugu. Ndiyo maana baadhi ya nchi wana sheria zinazokataza mtu asiye ndugu kumuangalia mtoto bila ya kuthibitishwa tabia yako ya jinai huko nyuma (Enhanced disclosure).

wAFANYA KAZI WENGINE SIYO WAFANYAKAZI BALI NI CHANGUDOA WALIO MAWINDONI! Wengine ni "wakimbizi wa ndani"..wanatafuta hifadhi za kimaisha kuepuka kulala na njaa huko vijijini kwao.Hata uwalambe miguu..unajisumbua!
 
Siku ya kwanza naona hiyo picha nilisisimka. Anyway nilijifunza kitu hapo. Mwenye mtoto ana mitambo ya CCTV (camera) ndio maana ameweza kurecord huu ukatili. Kama una mtoto mdogo inabidi ufanye kaupelelezi kujua dada anaishi nae vipi ukiwa ofisini.

Nina family friend wetu ambaye mtoto wake wa kwanza ana tabia za hajabu sana. Walipokuja kuchunguza wanasema ni kuwa alikuwa ananyanyaswa sana na housegilr alipokuwa mdogo bila wao kujua na ndio imemfanya huyo bitni kuwa na tabia mbaya hajabu. Mtoto akilelewa kikatili na yeye kuna chance kubwa sana ya kuwa kwanza hana akili, pili mhoga na ana wasiwasi kama mwizi tatu kuwa naye pia katili. Ukiwa makini unaweza kugundua mapema kuwa mwanao analelewa ndivyo sivyo.
 
  • Thanks
Reactions: EMT
Kama angekuwa Mwanagu Huyo Mama saizi angekuwa hospital nisingekubali, Huo ni unyanyasaji wa Watoto.
 
Aisee.... hio video ni ya kweli??? mbona huyo mtoto mdogo saana!!
Hata hayo maungo yake kweli.... dah! kweli i am touched!!
 
That is equivalent to waterboarding. Huyu mtoto atakuwa amezoea yaani ni kama wazamiaji wa pweza vile, ukiifanya kazi ile kwa muda mrefu unazoea na kuona ya kawaida. Cha muhimu hapa ni kujenga mahusiano mazuri sana na wafanyakazi wa ndani hasa upokuwa na mtoto. Unajua kumuachia mtu mtoto wako amuangalie inahitaji moyo hasa akiwa si ndugu. Ndiyo maana baadhi ya nchi wana sheria zinazokataza mtu asiye ndugu kumuangalia mtoto bila ya kuthibitishwa tabia yako ya jinai huko nyuma (Enhanced disclosure).

You're right lakini kutokuwa na mahusiano mazuri na wafanyakazi wa ndani haina maana kuwa watoto ndio wawe victims. Bahati mbaya, this is exactly what happens.
 
You're right lakini kutokuwa na mahusiano mazuri na wafanyakazi wa ndani haina maana kuwa watoto ndio wawe victims. Bahati mbaya, this is exactly what happens.
Aaah Kaka, kwani ujawahi kuona au kusikia familia nyingine baba na mama wakigombana, basi kisilani kina hamia kwa watoto...! Watoto wanaweza kuchapwa na mama yao bila ya sababu yoyote ile.
 
Jamani! Kama mtu umeshindwa kazi si unaaga tu kwa wema kuliko kumpa adhabu mtoto asiye na hatia?
 
duh Mungu wangu jamani mpaka machozi yamenitoka, sijui wazazi wake wamemfanya nini, hatofautiani na muuaji, sijui waligunduaje mpaka wakaweka camera
 
Back
Top Bottom