AMudy anajiuguza bado jaman,mshine iligoma tena kaz
Nikajua tayari

Tulichojifunza ni tuwe tunamchungulia mamdogo tukikuta anaangalia picha za x tujipitishe ile apate hamasa ya kuomba gameJINA:SHOGA YAKE MAMA
SEHEMU YA ISHIRINI (MWISHO)
ILIPOISHIA SEHEMU YA KUMI NATISA.....
"Mama careen si una mume wewe, una mtoto wewe eeeh!?" Nilimuuliza nikiwa ninamsogelea lakini nikiwa namsogelea nilihisi muwasho mkali sehemu zangu za siri ambao kwa sasa imekuwa mara yake ya tatu unanitokea nilijishike sehemu zangu za siri na kuanza kujikuna kwa mikono yangu kila navyojikuna ndivyo nilivuozidi kuwasha. Hadi haja ya mkojo ilinibana ila nilipojaribu kwenda chooni kuupunguza mkojo yale maumivu ya kipindi kile yamerudi tena tena yameongezwa na muwasho. Nilibaki kupiga ukelele wa Maumivu ndani ya nyumba ya Mama careen nisijue nifanye nini kwani miwasho ule hukutaka kuisha kabisa.........
SONGA NAYO...
Machozi yalikuwa yananitoka mfululizo nisijue wapi ntakimbilia kupunguza huu muwasho niliokuwa nao. Hata mama careen aliyekuwa anajiandaa kuondoka ilibidi anifuate mpaka kilipokuwa choo cha nje ya nyumba, alinikuta nikiwa nimekaa sehemu ya kupitishia haja huku nikikuna sehemu zangu za siri kwa nguvu kadri navyojikuna ndivyo muwasho ulizidi kuongozeka. "Muddy shida nini tena jamani" Sikuona hata aibu kujiachia kwani nilitamani hata ije feni kunipulizia huenda muwasho utapungua.
Binafsi sikujua ni ugonjwa gani michirizi ya mikojo ya damu iliyokuwa imesalia kwenye kichwa cha mashine yangu ilikuwa inamtisha hata Mama careen ambaye alitamani kujua tatizo ni nini. Aliniinua na kunivalisha nguo zangu haraka sana na kunipandisha kwenye gari lake haraka sana safari yetu iliishia hospitalini moja kwa moja hata kabla taarifa hazijwafikia nyumbani juu ya kile kilichonikuta sikujua ni ugonjwa gani au tatizo gani linanisumbua japo kwa Leo limeongezeka sana tofauti na siku zote.
Vipimo vilichukuliwa vya kila namna ili kujua ni nini tatizo daktari alimuita Mama careen huku akimuita pembeni kidogo japo ilikuwa soo mbali na mimi ila niliweza kuyasikia maongezi yao yaliyokuwa yanaendelea.
"Huyu ni mwanao ama!?"
"Hapana ila ni mtoto wa jirani yangu tunayekaa naye mtaa mmoja"
"Ooooh hilo halina shida kwa kuwa ni moja ya majirani ni vyema, mama yake yuko wapi kwani"
"Mama yake yupo kazini ila alikuja kwangu mara moja kuna kazi nilikiwa nimemuagiza"
"Sawa, Mama tumejaribu kuchukua kila aina ya vipimo ila hakuna tunachoona kwa mawanenu kabisa nilihisi labda fangasi lakini hapana kinachonishangaza zaidi ni hizi damu zinazomtoka nashindwa kuelewa ni ugonjwa gani umemkumba huyu kijana"
"Mmejaribu kila namna hamjagundua tatizo ni nini kweli"
"Ingali tungelikuwa na uwezo hafadhali tungekusaidia lakini kwa sasa tunashindwa hata tumpe dawa gani ila cha kuwasaidia jaribuni hata kuwasiliana na Mashekhe hata Wachungaji wamfanyie maombi"
Muda wote machozi yalikuwa yakinitoka nikijilaumu kwa anasa ambazo nilikuwa nafanya huenda zimesababisha haya kwani hakuna hata mtu mmoja niliwahi kutumia kondomu wakati wa tendo wote tulikuwa vile vile tuu. "Mungu wangu nisamehe mwanao" Niliongea maneno haya kwa ujasiri huku nikiyafuta machozi yangu "Najua nalipa kwa mabaya niliyoyafanya mungu wangu ninusuru katika haya" Muda ulipita mama alikuja akitoka kwa dokta kwani tayari alikuwa amekuja na Shekhe ambaye mama anafahamiana naye kwa ajili ya Dua. Hapakuwa na namna zaidi ya kumuomba mungu tuu ili aniponye katika kisanga hiki. Kila kukicha shekhe alikuwa anakuja kunipatia dua ambazo sikuona faida zake kilasiku kwani ule muwasho ulibaki kuwapo hata kukojoa nilikiwa siwezi tena, mashine yangu ilikuwa imejawa na vipele kibao ilikuwa haitamaniniki ule utamu uliokuwa unasifiwa kila muda haukuwepo tena. Binafsi nilijikatia tamaa nikijua hiki ndio kiama kwangu na ndio malipo ya dhambi nilizozichuma muda wote.
Nilitamani kuywa hata sumu ili nife au nijinyonge kabisa nisiwepo tena duniani kwani imekuwa chungu kwangu umri wangu wa Miaka 20 tuu umekuwa daraja gumu kuupitisha maisha yangu yakikuwa mkononi mwa mungu tuu kwani hata yale mapele yaliyokuwa sehemu zangu za siri yalikuwa vidonda tayari hakuna aliyetamani kuniona mashine yangu ilikuwa haitamaniki. Kilio ndio ilikuwa faraja yangu Mama yangu alikonda juu ya hali yangu sikutaka kabisa kuona Mama yangu anapata shida mbele yangu kwasbabu ya dhambi zangu. Ilifika kipindi hadi Shekhe huyu nilimzuia kuja lakini hakukoma kuja kunifanyia Dua nilijua kabisa ndio hatima yangu ni kifo tuu. Baba alirudi naye hakuatarajia kunikuta katika hali hii ilibadilika na kuwa familia ya majonzi familia iliyojaa huzuni muda wote furaha ilitutenga kabisa kadri siku zinavyokwenda hata Madokta walinakatia tamaa kuiniwekea dawa kwenye sehemu zangu za siri.
Miezi miwili ilipita nikipitia mateso hayo hayo nikiwa nimekata tamaa kabisa taratibu hali yangu tena ilianza kubadilika vile vidonda vyangu vilianza kuisha taratibu na kukauka hata uke uwezo wa kukojoa teana ulianza kurudi kama mwanzo japo ilichukua wiki nzima mpka kupitisha mkojo bila kuhisi maumivu tena hata vile vidonda vilianza kupona na ngozi yangu ya zamani ilianza kujirudi taratibu mpaka nilipoona nimepona kabisa. Hakuna siku ambayo nilikuwa ninafuraha nikipokuja kuamuka nikakuta mshine yangu ipo deede.
Tangu siku nimetoka hospitalini nimekuwa Mohamed sio Muddy tena kwani nimekuwa mtu wa swala tano sikutaka tena kurudia makosa ambayo nimeyapitia hakika kwangu yalikuwa zaidi ya mateso ambayo yamenifunza mengi. Nilijitahidi kujitunza hata nisiwe na tamaa tena kwa kumuogopa Allah nimekuwa muddy ninayependwa na kila mtu mtaani nimekuwa mie na kanzu, kanzu na mimi.
Mpaka naandika simulizi hii ni muda wa vijana kutokuendekeza tamaa za mapenzi ingali umri wao ni mdogo kwani taifa linawatehgemea katika utendaji wa kazi za kila namna. Wao ndoo nguvu kazi ya Taifa na taifa linawategemea wao ndio waje kuwa viongozi wa badae na washauri wa Taifa hili waepuke na Tamaa kwani magonjwa ni mengi kuna ya kulogwa na hata adhabu ya mungu ambayo mie ilinipata na mpaka sasa Najiandaa kwenda masomoni kwenye kambi ya Lugalo kusomea maswala ya afya.
END OF THE STORY
Aya mmejifunza nini?
Mkuu hakuna nyingine huko store??JINA:SHOGA YAKE MAMA

Hahahahaha akiweka nyingine unishitueMkuu hakuna nyingine huko store??
Mimi apa
Uje tusome wote baby mary
Nimejifunza nothing