Shoga anaweza kuoa?

gwenivia

Senior Member
Joined
Feb 22, 2014
Posts
118
Reaction score
20
Jamani eti shoga (gay)anaweza kuoa
 
Halafu ukishajua?

Unataka kuolewa nao au wewe ndio muoaji?
 
There is only one way to find out and its not gonna be my ass on the line
 
ndio anafaa kuoa.mbona wengi tu wanaolewa.vp we ni shoga?naona umeamua kuvuta huduma ndani kbsa ili muwe mnapakuana kwa raha zenu.sema ukioa shoga ukae kwako mana ukikaa nyumba za kupanga na hayo maneno yake mtakosa hata pa kutokea
 
Ndiyo wapo wanaooa, lakini wewe mwanamke kuolewa na shoga unajitakia nini?
 
Wanaoa vp umepatikana? kuna mmoja kaoa na ana 2 kids mwenyewe anapiga kazi west africa (kazi ya ushoga) , wife anajua yupo UN huko twih twih twih
 
Olewa tu mtakuwa mnagegedwa wote, Wale kusimamisha mpaka abustiwe kwanza
 
Anaweza lakin mpaka awe anabustiwa tigo yake ndio akupe raha na wewe,!!!!
 
Yes, they do.

Haya tupe story behind...
 
mambo vipi tuma? karibu sana JF. Naomba nikukague kidogo

No gay get married to straight hata akioa huyo mwanamke hajipendi lazima atakuwa na gay mwenzake. hiyo huwa psychological very difficult to change
 
SHOGA AWEKA HISTORIA BONGO



S
tori: Imelda Mtema na Shani Ramadhani

KATIKA tukio linalochukuliwa kama ni la kihistoria kuwahi kutokea katika miaka ya karibuni, shoga wa Jijini Dar es Salaam, Amos Hamis, maarufu kama Anti Asu, aliyeokoka Agosti mwaka jana, ametangaza nia ya kutaka kuoa katika Kanisa la TAG, Magomeni wiki iliyopita.


​
Amosi alimvalisha pete ya uchumba, Astrida Samatha baada ya kukamilisha taratibu zote za mila na desturi za ukweni na hatimaye kupewa ruksa ya kumuoa.
Mara baada ya misa ya pili kumalizika katika kanisa hilo, Amos alimvisha pete mchumba wake huyo na kusababisha nderemo na vifijo kutoka kwa waumini wa kanisa hilo, ambao waliahidi kuchangia baadhi ya gharama wakati wa harusi yao.


​
Akizungumzia suala hilo, Amosi ambaye ni maarufu sana jijini Dar es Salaam enzi zake akijishughulisha na mapenzi ya jinsia moja, alisema:
"Siamini na wala sikuwahi kufikiria kama nitakuja kuwa na familia yangu, namshukuru sana baba mchungaji, kwani nina imani hata hao wanaoendelea na ushoga ipo siku watarejea kwa Bwana."
​
Amos alisema alijikuta akitamani kuwa na mwanamke baada ya kuokoka lakini hakuwa na mawazo hayo kipindi alipokuwa shoga.
Astrida, mwanamke aliye tayari kuolewa na Amos, alisema Mungu ameagiza upendo wa dhati ukiwemo ule wa roho, hasa kwa watu kama hawa na siyo vizuri kuwatenga.
"Tumeagizwa upendo ule wa roho, mimi naona ni sawa kwa kuwa na yeye ni mtu kama mimi na anahitaji upendo wa dhati na ninaahidi kumpenda," alisema Astrida.

​
MCHUNGAJI ANENA
Mchungaji kiongozi wa kanisa hilo, Dustan Kanamba, alisema Agosti, mwaka jana, Amos aliamua kuachana rasmi na ushoga na kuokoka, ndipo yeye na mke wake, walipoamua kumchukua na kuwa sehemu ya familia.
"Mimi na mke wangu tulishauriana na kumchukua ili awe mmoja kati ya familia yetu, japo kabla ya kuokoka alikuwa hajisikii kuwa na mwanamke lakini hali ilibadilika pale alipookoka na kujiona anahitaji kuwa na mwanamke kwani kwa kipindi cha miaka 29, Amos hakuwahi kumjua mwanamke," alisema mchungaji.

​
WAUMINI WAMPONGEZA
Baadhi ya waumini wa kanisa hilo wamempongeza Amos kwa hatua aliyofikia na kuahidi kumpa sapoti katika ndoa yake inayotarajiwa kufungwa hivi karibuni, huku wakitaja baadhi ya vitu watakavyomuwezesha kama kumshonea suti ya kufungia ndoa na vinginevyo.

​
Amos aliachana na mambo ya ushoga Agosti, mwaka jana baada ya kuokoka na kufanyiwa maombi na mchungaji kiongozi wa kanisa la T.A.G, Magomeni Mikumi jijini Dar.

​


Source:SHOGA AWEKA HISTORIA BONGO - Global Publishers
 
Kuna watu wana fanya kwa siri sana kumtambua inakuwa vigumu, hao mara nyingi wanaoa ila kabla kusex na mwanamke lazima abustiwe kidogo ila ipate chaji.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…