Prince Nadheem
JF-Expert Member
- Feb 25, 2012
- 1,265
- 1,092
Mwanzoni sikujua kama huyu jamaa anatabia ya ushoga nilipojaribu kumchunguza vizuri nikagundua jamaa si riziki.
Alianza kunitumia sms za mapenzi huku akinitakia magudinight kila siku
Nimejaribu kumkanya ila naona hasikii hadi wife ameshtukia nakuanza kugomba.
Ameniambia hata nifanye nini lazima nimlale mimi huo mchezo si uwezi kabisa
Msaada please nimuepuke huyu jamaa
Kata mawasiliano yote kama kweli una nia hiyo. Vinginevyo na wewe sitaki nataka. Na hayo maamuzi yote unayo ila nashangaa na hili pia walileta jamvini.