Shoga anataka kuniharibia ndoa msaada wenu jamani

Mwanzoni sikujua kama huyu jamaa anatabia ya ushoga nilipojaribu kumchunguza vizuri nikagundua jamaa si riziki.

Alianza kunitumia sms za mapenzi huku akinitakia magudinight kila siku
Nimejaribu kumkanya ila naona hasikii hadi wife ameshtukia nakuanza kugomba.

Ameniambia hata nifanye nini lazima nimlale mimi huo mchezo si uwezi kabisa

Msaada please nimuepuke huyu jamaa

acha utani, yani kweli kabisa jamaa amekufanya uje uombe ushauri hapa?wewe kiukweli kabisa hujui namna ya kumfanya asikusumbue?mh napata tabu sana kuamini unachosema.
 
khaaaaa hata hili unaomba msaada kwani wewe hujui la kufanya?
 
Mweleze mkeo ukweli,kisha km unatumia sim maridadi,pakua call blocker,tupia no yake pale,anakua hakupati na akikutumia sms haziji.kwisha habari yake mkuu.
 
Hawa mashosti kweli ni wasumbufu, lakini usumbufu wao unategemea zaidi wewe muhusika ulivyo,hebu fikiria anakupigia unapokea,unajibu mesej zake,pengine unaenda mnaonana,kisha unachekacheka tu hapo ni lazima atakusumbua tu!hapo nikua kauzu kweli uso wa mee huku ukimueleza kumchukulia hatua za kisheria,take action ya kuonesha kua hutaki!
 
Ulitokana wapi na huyo shoga mpaka akuzoee kiasi hicho. Inaelekea unapenda kamchezo hako huku jf unatufanyia usanii.
 
Mwanzoni sikujua kama huyu jamaa anatabia ya ushoga nilipojaribu kumchunguza vizuri nikagundua jamaa si riziki.

Alianza kunitumia sms za mapenzi huku akinitakia magudinight kila siku
Nimejaribu kumkanya ila naona hasikii hadi wife ameshtukia nakuanza kugomba.

Ameniambia hata nifanye nini lazima nimlale mimi huo mchezo si uwezi kabisa

Msaada please nimuepuke huyu jamaa

wewe umeoa kwa hiyar au wamekuolea wazazi......una mke unaempenda na umetolea mali bado unakuwa na network na mashoga.....naona bado hujajitambua ndugu yangu...!! kwa thread yako ni wazi mnajuana vizuri na huyo shoga, na kujuana kwenyewe sio tu kwa macho..bali ulishamuonja..it can't b easy....au kama unaleta hadithi ya kufikirika....habari za mashoga huwa hazina mamvuto kuzijadili kabisa so unapoleta thread lete yenye kutufanya lazima tuijadili....wengi wameamua tu kukushauri hapa japo wanaona wewe ni kama msanii katika hoja hii.....!! hivi kuna jambo rahisi kuliko kubadilisha namba ya simu? lakini pia hata zije meseji milion kila siku....lazima hujibu? atachoka tu..na hawezi kufika mwaka anakutumia meseji kwa mtu ambae arespond......nakuomba jitambue ndugu yangu hakuna jambo linalotia kinyaa kama uwekwe kikao na nduguzo, wekwe wazazi eti mkeo kakushtaki una mawasiliano na shoga?? hata ndoa ivunjike lakini fedhea utabaki nayo milele.........!!!!!refer kesi moja cameroon mtu kamtumia txt mwanaume mwenzake kuwa "I'm in love with you" basi kaenda jela miaka 3....wewe una haki kisheria...hata ya kufungua kesi.....ukiwa na rafiki shoga na wewe ni shoga tu.....we ndio shoga yake hapo...."alike birds flying together"
 
Hahahaha
 
ndio maana jua kali sana mjini kwaajili ya nyie mnogegedana jinsia moja
 
na wewe ulifahamianaje na mtu wa hivyo? tuanzanie hapo kwanza, majibu mengine baadaye
 
Eiyer shikamoo tena shangaa wewe
Hadi umefikia hatua ya kuoa hujajua namna ya kutatua tatizo hili kama ni la kweli?

Ningekuwa namfahamu huyo mkeo ningemuambia unafanyaga huu mchezo
Kama kweli ungekuwa hupendi ungekuwa umeshapata dawa yake!!
 
Last edited by a moderator:
Hadi umefikia hatua ya kuoa hujajua namna ya kutatua tatizo hili kama ni la kweli?

Ningekuwa namfahamu huyo mkeo ningemuambia unafanyaga huu mchezo
Kama kweli ungekuwa hupendi ungekuwa umeshapata dawa yake!!

Huyu muomba ushauri naona kama hayuko serious au ndo anatafuta mawazo ya watu ili afanye kweli......:A S 13:.... Kama kweli hapendi mahusiano naye kwanini mpaka leo anaendelea kupokea msg wakati angeweza kuzifunga.... maswali ni mengi sana..... naona anatamani kujaribu huyo jamaa!!!
 
Back
Top Bottom